Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Tatizo kubwa Waafrika tumezaana na kuongezeka idadi ya watu lakini wengi hawafanyi kazi za kuzalisha bidhaa. 1) Utakuta watu wengi wapo kama madalali, wachuuzi na mawakala. Viwanda hatuna lakini Kazi za kilimo tumewaachia akina mama - ambao wanalima kidogo ili wapate mahitaji ya watoto wao na fedha kidogo za kujikimu. 2) Waafrika tunawakumbatia na kusifia wezi na waporaji wa mali za taifa- nchi za wenzetu utajiri wako utapelelezwa umeupataje? Utakamatwa na kuchukuliwa hatua. 3) Matumizi mengi ya Serikali zetu hayana mwenyewe - viongozi wanajichotea na kutumia watakavyo , hakuna anayewajibishwa. 4) Misaada toka nchi za nje - imewafanya wananchi wengi kuwa na fikra za utegemezi, bila mfadhili hakuna jambo tunaloweza fanya wenyewe, hatuwaamini wataalamu wetu wala wasomi wetu.
So in short hapa naona tu deal na corruption, kuhusu misaada hata nchi kubwa zinasaidiwa ishu ni kuzitumia vizuri
 
Africa sijui huwaga tunakwama wapi, wenzetu wametuacha parefu Sana.
 
Unajua Marekani wapo strict sana kwenye swala la kufuata sheria.

Hao wanao lala chini ya madaraja na homeless wengi unakuta wana makosa Mengi ya uvunjifu wa sheria.

Na kwa nchi kama Marekani ukisha ingia kwenye rekodi ya uhalifu na uvunjifu wa sheria fulani, kupata kazi kwako ni vigumu sana hivyo lazima uwe homeless.

Wengi wa homeless hao ni waathirika wa madawa ya kulevya, wahamiaji wasio na makaratasi, walioshindwa kulipa kodi waka fukuzwa kwenye makazi yao.


USA kila raia na mkazi ana Social security number, Hii ndio kila kitu kwenye kuku monitor na hata kwenye kuomba kazi lazima uwe na hii namba ili wakujue kila kitu.

Na kama uliwahi ingia kwa criminal record huwezi pata kazi, kirahisi rahisi.
Okay hapa umeongea ukweli...so homeless marekani sio coz of umaskini ni coz of criminal record
 
Duu .mi sijui abt this ...kumbe Kuna kuua tena
Wewe kwa akili zako unafikiri hili limuungano la kijinga na la kipumbavu linalindwa kwa nyimbo za mapambio ?

Nachuki kuona Wazanzibar wanauawa bila hatia kisa kulinda taka taka hili.

Lakini yote yana mwisho na mwisho utakuwa mbaya sana
 
Wewe kwa akili zako unafikiri hili limuungano la kijinga na la kipumbavu linalindwa kwa nyimbo za mapambio ?

Nachuki kuona Wazanzibar wanauawa bila hatia kisa kulinda taka taka hili.

Lakini yote yana mwisho na mwisho utakuwa mbaya sana
Nani kauwawa?
 
Nani kauwawa?
Magufuli alikifanya nini Zanzibar na mazombie yake, Nyerere alifanya nini kule, Mkappa mpaka Wazanzibar wakakimbia nchi yao alifanya nini kule ?

Au kwa sababu haya madhira hayawagusi Watanganyika waliokana nchi yao hivyo hatupaswi kujali ?
 
Okay ..so according to u India ni nchi maskini?
Hakuna cha according to fulani wewe nimekuomba unipe premises za utajiri ni nini ? Ukiongelea Nchi (unaweza ukasema nchi ni Tajiri kutokana na Resource au na Rasilimali Watu) Unaweza kuongelea Utajiri wa nchi kutokana na Pesa wanazoingia au kutumia kununulia vitu, au malighafi wanazotengeneza...

Ila kama nchi ni wananchi hapo tunakuja kwenye segment nyingine ? Na swali linakuja utajiri wa nchi una faida gani kama wananchi ni masikini ?

Lakini tusiishie hapo (yaani kama kitunguu una-peel different layers) linakuja swali utajiri wa mwananchi ni nini ? Je ni three basic needs (chakula, malazi na mavazi) ? Je wangapi India wanakidhi hilo segment ?, Au ni Sustainability ? Mtu kuishi sustainable na mazingira yake ? Alas!!! hapo unaweza ukasema mmasai kule kwenye kibanda chake cha nyasi ni tajiri kuliko Kibwengo kwenye one flat bedroom huko Saskatchewan....
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni nini?
Watu weusi wana Laana[emoji1787]
 
Very true...so changamoto ni dini...Ila waarabu pia Wana dini na wameendelea(even though ni mafuta and all)... Lakini wazungu hao hao Wana dini pia... Ila kweli tumejenga emphasis kubwa kwenye utamaduni wao kuliko maendeleo yetu
Changamoto sio Dini,sababu Dini ya Uislam ki Asili imeanzia Saudia Arabia,i.e Makkah na Madina,Qatar,Dubai,Oman kote huko imekwenda tu! Jibu ni Moja! Sisi sio Waadilifu!
 
Hakuna watu corrupt kama wachina popote pale ie kwao au nje ya kwao. Ila ni wachapa kazi.
Singapore, Thailand, Indonesia na Malaysia ni nchi ambazo zipo maeneo strategic hasa the strait of Malacca.

Southern China Sea kupitia strait of Malacca, inapitisha 5.7 Trillion worth of trading goods na hizo nchi zinachukua tax kutoka nchi nyingi, ikiwemo USA. hiyo income ni sawa na kuwa na mafuta.

Mkuu hata ukiwa corrupt vipi, thats a lot of money for small countries kama hizo, lazima kutakuwa na maendeleo. Waafrika hatuna biashara za kimataifa, labda Suez canal ambayo nayo inaipa sana hela Egyp.

Mifano mingine ni Panama canal na Strait of Hormuz kwa Panama na Iran.

Kuna nchi nyingine zimebarikiwa tu, zipo kwenye strategic areas.
Tanzania tunapakana na Uganda,Rwanda,Burundi,Malawi,Zambia,na Kongo Mashariki,zote hizo hazina Bandari! Lakini Mfano nyakati hizi Mafuta ni ya shida! Kuwa sijui una resources,upo strategic location nk nk ni factor Moja! Kuweza kutumia hayo manufaa ni kitu kingine! Sisi tuko hapa sababu ya UJINGA,kukosa Uadilifu,ROHO MBAYA,Ubinafsi!
 
Back
Top Bottom