shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Ila hiki kizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .aya ban Morocco ipo karibu na ulaya kuliko AfricaMoroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
Morroco walidadicate ushindi wao kwa Arab World.Huku wengine mnajining'iniza tuElewa swali..... je nitakuwa siyo muafrica??
This is home of great thinkers so Kaa kwa kutulia na hoja zako mufilisiTangu umeijua JF ukawaona wa Facebook hawafai.Sikujibu sasa maana uandishi wako wenyewe tu hao wa Facebook wana afadhari.
Unazunguka Ila hujajibu swaliMorroco walidadicate ushindi wao kwa Arab World.Huku wengine mnajining'iniza tu
Huwapendi wewe na nani?Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Sasa wewe si mtumwa!!!Ufaransa na Morocco
Ni bora niwe upande wa Ufaransa kuliko Morocco.
Hiyo ni theory yako Sasa usiilazimishe iwe ukweliHao wenzako huo uafrika wakushea eneo hawautambui wanatambua ngozi zao na ndio maana walisema arabs n muslims kuua so. Uafrika ni rangi ndio, waarabu wazanzibar watangazie ndoa ndio utagundua kama ni waafrica au sio.
Nachokaga kujibu mtu asiyejua hata basics tu za uandishiUnazunguka Ila hujajibu swali
ELEWA SWALI,JIBU SWALI
N.B:kweli walimu Wana kazi aisee
Haya kabla ya Slogan ya Home of Great Thinkers,JF ilikuwa na Slogan ipi? Au umeiparamia JF majuzi tu hapa unataka kufokea kila unaepingana nae kimawazo.This is home of great thinkers so Kaa kwa kutulia na hoja zako mufilisi
ELEWA SWALI, JIBU SWALIHaya kabla ya Slogan ya Home of Great Thinkers,JF ilikuwa na Slogan ipi? Au umeiparamia JF majuzi tu hapa unataka kufokea kila unaepingana nae kimawazo.
Kauli ya mtu mmoja ndio inajumuisha wote?Lakini si wao wenyewe waliweka wazi au hukumsikia mchezaji wao?
Mwambie huyoHaya kabla ya Slogan ya Home of Great Thinkers,JF ilikuwa na Slogan ipi? Au umeiparamia JF majuzi tu hapa unataka kufokea kila unaepingana nae kimawazo.
Uje kwa kutulia na adabu na uelewe hapa hatuwezi kuwa na mawazo sawa.Habari ya kunielekeza kuwa JF ni Home of GT nimeijua kitambo sana kabla yako.ELEWA SWALI, JIBU SWALI
Acha kutoka kwenye reli, tubaki kwenye hoja iliyotuleta hapa
Mbona umekimbia kwenye hoja unaleta ubabe great thinkerUje kwa kutulia na adabu na uelewe hapa hatuwezi kuwa na mawazo sawa.Habari ya kunielekeza kuwa JF ni Home of GT nimeijua kitambo sana kabla yako.
Acha kumjibu huyo mpuuzi ni Bora ukakaa kimyaNachokaga kujibu mtu asiyejua hata basics tu za uandishi
Hivi lini mtajielewa nyie mbona mnajipendekeza kwa watu waliowakataa kamaHao Ni waafrica wenzetu kwa sababu wapo ndani ya mchoro wa ramani ya Afrca.Uafrica Sio rangi kuwa mweusi au mweupe.Mbona Wahabeshi Ni WaAfrica,WaMisri,WaSomali n.k.SISI NI WAAFRICA KWA KUWA TUPO NDANI YA JUMBA MOJA LA RAMANI LINALOITWA --AFRCA.