Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
Ila hiki kizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .aya ban Morocco ipo karibu na ulaya kuliko Africa
 
Tangu umeijua JF ukawaona wa Facebook hawafai.Sikujibu sasa maana uandishi wako wenyewe tu hao wa Facebook wana afadhari.
This is home of great thinkers so Kaa kwa kutulia na hoja zako mufilisi
 
Ushindi wa waarabu na waislam huu, wengine hautuhusu kabisa.
 
Hao wenzako huo uafrika wakushea eneo hawautambui wanatambua ngozi zao na ndio maana walisema arabs n muslims kuua so. Uafrika ni rangi ndio, waarabu wazanzibar watangazie ndoa ndio utagundua kama ni waafrica au sio.
Hiyo ni theory yako Sasa usiilazimishe iwe ukweli

Fifa wanachoangalia na inavyotambulika morocco ni mwanachama wa CAF yaan (Confédération Africaine de Football ) ambacho ndo chombo kinachosimamia mpira africa
 
Haya kabla ya Slogan ya Home of Great Thinkers,JF ilikuwa na Slogan ipi? Au umeiparamia JF majuzi tu hapa unataka kufokea kila unaepingana nae kimawazo.
ELEWA SWALI, JIBU SWALI

Acha kutoka kwenye reli, tubaki kwenye hoja iliyotuleta hapa
 
ELEWA SWALI, JIBU SWALI

Acha kutoka kwenye reli, tubaki kwenye hoja iliyotuleta hapa
Uje kwa kutulia na adabu na uelewe hapa hatuwezi kuwa na mawazo sawa.Habari ya kunielekeza kuwa JF ni Home of GT nimeijua kitambo sana kabla yako.
 
Uje kwa kutulia na adabu na uelewe hapa hatuwezi kuwa na mawazo sawa.Habari ya kunielekeza kuwa JF ni Home of GT nimeijua kitambo sana kabla yako.
Mbona umekimbia kwenye hoja unaleta ubabe great thinker

Unataka nikusalimie au??aya shkamoo

Jibu swali langu basi nimeshakusalimia
 
Hao Ni waafrica wenzetu kwa sababu wapo ndani ya mchoro wa ramani ya Afrca.Uafrica Sio rangi kuwa mweusi au mweupe.Mbona Wahabeshi Ni WaAfrica,WaMisri,WaSomali n.k.SISI NI WAAFRICA KWA KUWA TUPO NDANI YA JUMBA MOJA LA RAMANI LINALOITWA --AFRCA.
 
Kwani Moroco iko bara Gani,na ndo washindi wa kombe la Dunia,Amin usiamini
 
Hao Ni waafrica wenzetu kwa sababu wapo ndani ya mchoro wa ramani ya Afrca.Uafrica Sio rangi kuwa mweusi au mweupe.Mbona Wahabeshi Ni WaAfrica,WaMisri,WaSomali n.k.SISI NI WAAFRICA KWA KUWA TUPO NDANI YA JUMBA MOJA LA RAMANI LINALOITWA --AFRCA.
Hivi lini mtajielewa nyie mbona mnajipendekeza kwa watu waliowakataa kama
 
Back
Top Bottom