Dah Chige chuki zina gender ?Jina lako linaonekana ni la kike, ama nakosea?!
Kama ndivyo, basi utakuwa mwanamke wa ajabu kwa kuendekeza chuki na ubaguzi! Sijui hao watoto wako wanapata malezi ya aina gani ikiwa mama anaonesha ana chuki za wazi wazi,,,
Kwahiyo huwa unawaambia "...usiende kucheza na akina Mohammed, hao ni waarabu na Waislam, mimi siwapendi"
I honestly feel sorry for your kids!!
Nini msingi wa mtu kuitwa "African American" huko USA!? Kama sio Rangi!?Nimekua nikiona mada za aina hii, naona wote wanaobisha Morocco hawapo Africa, namuona pimbi.
Swali la msingi? Kwani Uafrika ni nini? Rangi, kama ndio na wale weusi waliopo France, Belgium, Papua Guinea, South American Countries je wote ni waafrika?
Au weupe waliopo humi Afrika, je wote ni waafrika?
Ili iwe Muafrika, inabidi nchi yako iwe ndani ya bara hili regardless ya Rangi, Kimo, nywele au unene?
Afrika, tutambue uafrika sio rangi.
Acha kumshambulia kinafiki.Jina lako linaonekana ni la kike, ama nakosea?!
Kama ndivyo, basi utakuwa mwanamke wa ajabu kwa kuendekeza chuki na ubaguzi! Sijui hao watoto wako wanapata malezi ya aina gani ikiwa mama anaonesha ana chuki za wazi wazi,,,
Kwahiyo huwa unawaambia "...usiende kucheza na akina Mohammed, hao ni waarabu na Waislam, mimi siwapendi"
I honestly feel sorry for your kids!!
Hajielewi.Anaandika meeeengii utadhani anaomba u-house!Dah Chige chuki zina gender ?
Maombi yao ya kucheza ulaya yangekubaliwa, je bado tungewahesabia kuwa wawakilishi wa Africa!? Mafanikio yao bado yangehesabiwa kuwa mafanikio ya Afrika!?Hiyo ni theory yako Sasa usiilazimishe iwe ukweli
Fifa wanachoangalia na inavyotambulika morocco ni mwanachama wa CAF yaan (Confédération Africaine de Football ) ambacho ndo chombo kinachosimamia mpira africa
Sikutegemea[emoji2815]Watu walishasema ni kuupambania uislam na uarabu sio uafrika, labda nawe ni muislam mwenzao!
Walishatukataa sisi sio ndugu zao,japo walifuta kauli.Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Wametubagua wenyewe nifanyewe? Nimetengwa najitenga, Sina shoboSikutegemea[emoji2815]
Acha hayo mambo nakuambia,shangilia ushindiWametubagua wenyewe nifanyewe? Nimetengwa najitenga, Sina shobo
Sipendi unafiki, bakini na ushindi wenu,Acha hayo mambo nakuambia,shangilia ushindi
Ungeodoa udini ukabakisha ubaguzi wa rangi. Senegal ambao mnawaona Waafrika wenzenu nao pia aslimia zaidi ya 95 ni waislamu.Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Unataka nilie au??Sipendi unafiki, bakini na ushindi wenu,
Hii hoja ni ya kipuuzi. Kama ni hivyo basi na Spain ipo Africa zaidi kuliko Ulaya kwa kuwa ukiwa upande wa Hispania Africa unaiona na unaweza kuogelea kwenye bahari ya Mediterranean. Kwa hiyo Hispania ni Africa.Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
Waasis wa kuwaita (wahind ,waarab,makaburu) walozaliwa Africa kuwa ni (wahind ,Waarab ,makaburu) ni nan?Hii ni kwa tafsiri yako, kwao ni waarabu sio wafrika na sijawahi kishududia mwarabu anajinasibu kama mwafrika au kujivunia.
Tafsiri ya mwafrika ni mtu aliyezaliwa afrika na ni mweusi.
Mhindi akizaliwa Africa huyo ni mhind, Elon musk kazaliwa Africa sijawai kusikia akijiita mwafrica.
Mweusi akizaliwa America anaitwa black america au negro na ukienda wewe mweusi kutoka huku wanakubagua.
Mchina akizaliwa Africa huyo ni mchina hakuna mwarabu anataka kuchangamana na nyie waafrica mnajipendekeza tu, unless uwe muislamu undugu katika imani.
Mbona vit vingne hata sio vigumu kufikir.Okay wangekubaliwa mafanikio yao yangekua ya ulaya...Na mm nkuulize kwann hayo mafaniko yangekuwa ya Ulaya?Maombi yao ya kucheza ulaya yangekubaliwa, je bado tungewahesabia kuwa wawakilishi wa Africa!? Mafanikio yao bado yangehesabiwa kuwa mafanikio ya Afrika!?
Nilikua nategemea siku moja atatokea mtu mwenye akili km wewe leo ulivyoongea asante,sisi Ni wabaguz sanaMtu mweusi/mwafrica ndiye mtu mbaguzi kuliko wote hapa duniani.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tunabaguliwa kwa sabab ya uduni wa maisha.Na huu uduni wa maisha tunausababisha wenyew sababu hatuna akiliKuna mambo tunazunguka tu mbuyu ukweli usemwe. Uafrika si ngozi, muafrika ni mkazi anayetoka bara la Afrika. Lakini, je, hao wenzetu ambao kimsingi mataifa yao yapo ndani ya bara la Afrika wanajihisi hivyo kama ambavyo inatakiwa kuwa? Jibu: si kweli.
Inabidi ifike lakini pia wakati 'waafrika weusi' tujitathmini kwanini tunakataliwa sana hapa duniani. Upumbavu wetu ambao umetufanya tuendelee kuwa duni ndio unatuponza, hatuheshimiwi na tunaonekana duni.
Anyway, all in all nawatakia mafanikio mema timu zote kuibuka na ubingwa(ushindi).
Udini mmeonyesha wenyeweUnataka nilie au??
Nimesema achana na udini.
Akuna anaelazimisha jambo ila ukweli utabaki kuwa ukweli Morocco ni Waafrika wenye asili ya kiarabuMpira ni burudani usilazimishe mambo. Kama kuna Shabiki burudani yake ni waarabu wafungwe na kuna muarabu burudani yake ni ushindi uwawakilishe waarabu na sio watu wengine usilazimishe. Ww burudani yako ni kuwa Africa imeshinda pia sawa tu na Africa yako ya kwenye makaratasi ila watu wapo kwenye ulimwengu wa Soka ndo maana kuna mwingine anaiona ufaransa ikishinda kama vile watu wa Afrika wameshinda na anapata burudani.