Afumaniwa akidaiwa kuwaingilia vijana wawili kinyume na maumbile

Kwa hiyo makada wamekimbia kashikiliwa komredi tu?
 
Hii nchi ngumu hii. Sasa hawa si watu wazima wanaburudika kama wanavyonunua machangu? Kipigo hicho kakosa nini? Awageuzie kibao hao waliompiga ili wajue sheria.
Kabisaa, km ni watu wazima, na walikua chumbani yaan faragha, sasa wao mamlaka ya kuingilia hilo wanatoa wapi??
 
Bongo ni nchi ya maajabu yake,
Mwandishi naye anamuuliza mke kama katiba ya mume wake inasema vizuri kabisa, hajui hata kama kuna watu ni bisexual wanagonga ME na KE vizuri tu. Tafrani tupu😁
Wabongo wanachekesha sana, sasa huko FB comments zao utacheka, eti eeh hadi wagumu nao wamo, tukajua kina lokole na anco T tuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimecheka huko hadi mbavu zinauma hapa.
 
cocastic huko aliko atakuwa anakimbia mbio za hatari πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ kuja kuchangia huu uzi.
Nimecheka kwa sauti kubwa, majirani wanasikia huko.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Afu huu uzi nimeuona pindi ameuweka tu, tena mie ndio ningekua wa kwanza kuchangia, ila niliacha niwaone wanaharamu wakiwa wanalipuka km moto wa kifuu hapa.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ok.πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…