Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Arusha kwa kuendeshwa kwa mihemko hawajambo
SidhaniHuyo sio Mlokole, ni Mkatoloki muimba kwaya St. Thereza
Ni mkasesmatiki wale ni walokole tu wanao ona aibu kuhama rc😁Sio suala la kudhani, mke wake mwenyewe hapo kwenye clip anasema mume wake ni muimba kwaya St. Theresa.
Hii inaonesha namna jamii ilivyo na watu wajingaArusha kwa kuendeshwa kwa mihemko hawajambo
Huko bara lakin huku zenj kawaida hasaMazito haya!
Muimba kwaya ,mtu wa dini anazibua chamber! 3 some aisee tena midume.Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi.
Mmoja wa Wanaume hao, aliyefahamika kwa jina la Alex Kimario, anayedaiwa kuwa dereva wa bodaboda, alishikiliwa na wananchi baada ya vijana wawili waliokuwa naye kutoroka katika eneo hilo.
Baadhi ya mashuhuda wanadai kuwa Alex alikuwa akiwafanyia Vijana hao wawili kitendo cha ngono kinyume na maumbile, madai ambayo bado hayajathibitishwa na mamlaka.
Akizungumza, Alex ameeleza kuwa vijana hao walimuita ili awapeleke eneo la Kambi ya Fisi, akisema tayari alikuwa amewahi kuwapeleka sehemu mbalimbali zaidi ya mara tatu.
“Hawa vijana wameniita kuwapeleka mtaa wa Kambi ya Fisi, nilivyokuja kumbe hawa vijana tabia zao sizijui. Nimeshakuja zaidi ya mara tatu nawachukua na kuwapeleka mahali wanataka,” amesema Alex.
Kuhusu mafuta yaliyodaiwa kukutwa katika chumba hicho, Alex amesema ni mafuta ya kawaida ya kujipaka ambayo yanaweza kutumika katika sehemu mbalimbali za mwili.
Mke wa Alex aliyefika eneo la tukio baada ya kupata taarifa amesema ameshtushwa na tukio hilo, akieleza kuwa anamfahamu mume wake kama mtu wa dini na mwimbaji wa kwaya.
Balozi wa eneo hilo, Lydia Danieli, amesema analifahamu tukio hilo na kwamba baadhi ya mienendo ya vijana hao ilikuwa imewahi kuwafanya wananchi kuwa na mashaka.
Jeshi la Polisi lilifika katika eneo hilo na kumchukua Alex kwa ajili ya taratibu zaidi za kisheria.
View attachment 3675305
Sasa mbona hao vijana hawajawaonyeshaNi jinai eti.
Mimi huwa sina ubongo wa samaki wa kukasirika kwa comments za mjinga kama wewe. Nakuapia kwanza wewe humjui Mungu na huenda ni mwovu kuliko hata hao unaowahukumu. Hii dunia imejaa kila uovu na tena uovu unaosababisha watu wengine kufa lakini kwa unafiki wenu mnachagua ushoga kama ndiyo uovu pekee huku mkiogolea kwenye bahari za uovu na mauaji. You hypocrites!!!Inaonekana ushawahi kupata hiyo "burudani".
Wakuu nimekuja kugundua JF sio sehemu salama sana kwa afya zetu za akili comrades. Maudhui tunayoyapata humu yanapaswa kuchunguzwa na sio kufuata kila jambo kisa limewekwa JF. Tupo wengi humu na kila aina ya tabia ipo hapa. Mwisho naomba wanajamvi tuzidi kumsogelea M/Mungu kila mtu kwa imani yake.
Inasikitisha sana.
Kwa maelezo ya muuza kibanda jamaa amekula jicho kabisa! daaa aiseeeWanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi.