Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
wamekula skanka zao, wakaona wakatifuane mitaro
Wanaipiku dar na vitongoji vyake😁Arusha Kuna heka heka! Full kufuatiliana na umbea umbea
Wamekimbia, huyo amekamatwa sababu na mkewe alikua hapo.Sasa mbona hao vijana hawajawaonyesha
Bora uwaambie hawa WANAFIKI.Mimi huwa sina ubongo wa samaki wa kukasirika kwa comments za mjinga kama wewe. Nakuapia kwanza wewe humjui Mungu na huenda ni mwovu kuliko hata hao unaowahukumu. Hii dunia imejaa kila uovu na tena uovu unaosababisha watu wengine kufa lakini kwa unafiki wenu mnachagua ushoga kama ndiyo uovu pekee huku mkiogolea kwenye bahari za uovu na mauaji. You hypocrites!!!
ShesRise_1 Robert Heriel Mtibeli Iceberg9 The Icebreaker mmeona majibu ya platinum wa JF 😹😹😹Hii nchi ngumu hii. Sasa hawa si watu wazima wanaburudika kama wanavyonunua machangu? Kipigo hicho kakosa nini? Awageuzie kibao hao waliompiga ili wajue sheria.
Maxence Melo kaka uwe unatenga muda wa kupitia maoni ya platinum wako..!! 😹Hii nchi ngumu hii. Sasa hawa si watu wazima wanaburudika kama wanavyonunua machangu? Kipigo hicho kakosa nini? Awageuzie kibao hao waliompiga ili wajue sheria.
Na wenyewe usiku wanajifungia wanaufanya na wake zao na waume zao..!! 😹😹Yani raia wote hapo wameenda kushuhudulia ushoga 😁
Bongo tunaishi dunia yetu wenyewe wenyewe.
Jirani unajua kua kwenye msafara wa Mamba,Kenge pia wamo.
😹😹😹 Bro minini ya watu?Shida zoooote hizi kweli, na miknd ya watu nayo iwe shida zetu?!!! Hapana jamani
😹😹😹 Wanaume mna 3some konkii haijawahi kutokea..!!3some ya kishetani👹
Platinum hii badge yenu ngumu sana..!!Jambo hilo kama ndio lingekua lime mkuta mwanao ungeandika hii comment hivi?
Na usiseme tuu platinum.... ni platinum msomi, mwenye exposure ya kusafiri na kuishi nchi mbalimbali na jamii za kila aina. Na usisahau... yuko JF tangu 2006.....Maxence Melo kaka uwe unatenga muda wa kupitia maoni ya platinum wako..!! 😹
Badge yenu ina viumbe vya ajabu sana 😹😹Jirani unajua kua kwenye msafara wa Mamba,Kenge pia wamo.
😹😹😹 IgweeeeeeeeeeNa usiseme tuu platinum.... ni platinum msomi, mwenye exposure ya kusafiri na kuishi nchi mbalimbali na jamii za kila aina. Na usisahau... yuko JF tangu 2006.....
Ahsante.Polee sanaa mummy.... I can feel your pains
Nimesadiki maneno yako🙌🙌🙌
JF member since 2006 macho_mdiliko naomba unisikilize mkuu. Ushoga ni janga hatari kwa jamii yetu na sidhani kama kuna dini inaunga mkono kufuru cha kiwango hiki. Tunapaswa kukemea suala hili waziwazi bila kupindisha au kuficha ficha. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi, tusipake mafuta uchafu. Unaposema walikuwa wanaburudika na haipaswi kuwaingilia, ni picha ipi unayojenga?Mimi huwa sina ubongo wa samaki wa kukasirika kwa comments za mjinga kama wewe. Nakuapia kwanza wewe humjui Mungu na huenda ni mwovu kuliko hata hao unaowahukumu. Hii dunia imejaa kila uovu na tena uovu unaosababisha watu wengine kufa lakini kwa unafiki wenu mnachagua ushoga kama ndiyo uovu pekee huku mkiogolea kwenye bahari za uovu na mauaji. You hypocrites!!!
Wewe ni nani kupekuwa vyumba vya watu kuangalia wanafanya nini? Ni sheria gani inayowapa hao majirani mamlaka ya kuwatoa watu wazima kwenye nyumba yao na kuwapiga? Wana uhakika gani kuwa walifanya wanafanya hilo tendo? Mimi niko ki-sheria zaidi kwa sababu kesho unaweza kuvamiwa wewe au mimi kwa sababu tu jirani kahisi unafanya. Wangekuwa ni watoto wadogo, au angekuwepo hata mmoja wala nisingelaumu. Mimi nakuhakikishia jamaa akiwageuzia kibao wanafungwa kifungo kirefu na faini kubwa. Hapo hajasema walikuwa na lengo la kumpora sh milioni 10 alizokuwa nazo. Mimi huwa nataka watu wafuate sheria kama wanahisi kuna kosa.JF member since 2006 macho_mdiliko naomba unisikilize mkuu. Ushoga ni janga hatari kwa jamii yetu na sidhani kama kuna dini inaunga mkono kufuru hii. Tunapaswa kukemea suala hili waziwazi bila kupindisha au kuficha ficha. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi, tusipake mafuta uchafu. Unaposema walikuwa wanaburudika na haipaswi kuwaingilia, ni picha ipi unayojenga?