Afumaniwa akidaiwa kuwaingilia vijana wawili kinyume na maumbile

Muimba kwaya ,mtu wa dini anazibua chamber! 3 some aisee tena midume.
 
Mimi huwa sina ubongo wa samaki wa kukasirika kwa comments za mjinga kama wewe. Nakuapia kwanza wewe humjui Mungu na huenda ni mwovu kuliko hata hao unaowahukumu. Hii dunia imejaa kila uovu na tena uovu unaosababisha watu wengine kufa lakini kwa unafiki wenu mnachagua ushoga kama ndiyo uovu pekee huku mkiogolea kwenye bahari za uovu na mauaji. You hypocrites!!!
 
Kwa maelezo ya muuza kibanda jamaa amekula jicho kabisa! daaa aiseee
 
Muda si mrefu utauona Uzi mreeeefu ukiwa na kichwa kikuuubwa ukielezea kuwa ushoga upo pwani tu Huku Waislamu wakihusishwa, kutukanwa na kidhalilishwa. Dunia hii na binadamu wake, acha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…