Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Kwa hiyo ww ni mbeya tu ndiyo ilikuwa shida yakoHivi ungekuwa wewe ungeweza mpiga picha boss wako? Hata hivyo ni sawa kurusha picha za staff wenzio za fumanizi?
Kama huamini hakuna shida mim nilipost kushare nawenza kilichotokea si kutaka kila mtu aamini.
unamfyatua kiuno..hafi wala nini ,,anakua kiguru nyembe apa apa..well kwangu mimi ntasota kidogo segerea miez mitatu tu na kutoka kwa kijidhamana..then kesi itafutwa in 3 yrs time tops kibongo bongo.Baada ya kuwafyatulia unadhani nin kingefuata kwako? Yann kujipa shida ilihali wanawake wapo wengi?
unamfyatua kiuno..hafi wala nini ,,anakua kiguru nyembe apa apa..well kwangu mimi ntasota kidogo segerea miez mitatu tu na kutoka kwa kijidhamana..then kesi itafutwa in 3 yrs time tops kibongo bongo.Baada ya kuwafyatulia unadhani nin kingefuata kwako? Yann kujipa shida ilihali wanawake wapo wengi?
Mmh ni unaonekana ni chakubimbi sana na hiyo itakugharimuAcha umbea..una uhakika loo
hajiuwe kwa ajili gani, ? kwani kutiaana si kitu cha kawaida, what so special about that ?Hata kuhama kwenyewe haimsaidii cha msingi avumilie yatazoeleka tu mme akimwacha apange sehemu maisha yaendelee nakazi asiache watamsema weeeh yatapita kuliko kujiua.
Ni mtu ambaeye akisikia jambo lazima alitangaze na ndivyo ulivyo ww kibaya zaid ni mtu anayejifanya unajua wakati hujui [emoji15]Hahahahaha! Hili neno sijalisikia kitambo! CHAKUBIMBI...Ila sifa zake ndo sizikumbuki..waweza nikumbusha kidogo.
Anaogopa asije kutumbuliwaOfisi mbona huitaji?
Wewe una tatizo na wala mm siyo niliyefumaniwa ila nifatilia hii thread toka mwanzo na kugundua tabia yako ilivyo kutokana na namna unavyojibu narudia tena itakugharimuAhaa kumbe..nini kunakufanya useme najifanya najua wakati sijui? Au wew ndiyo mfumaniwa nini?
Hahahahaha! Unajifanya chui kumbe kapaka tu wewe mlala jikoni..nikaghalimi wewe yanakuhusu...? Mji...nga.weeeWewe una tatizo na wala mm siyo niliyefumaniwa ila nifatilia hii thread toka mwanzo na kugundua tabia yako ilivyo kutokana na namna unavyojibu narudia tena itakugharimu
Ndiyo maana nikakuambia wewe ni tatizo sasa huo ujinga wangu nnHahahahaha! Unajifanya chui kumbe kapaka tu wewe mlala jikoni..nikaghalimi wewe yanakuhusu...? Mji...nga.weee