Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Kwa hiyo ww ni mbeya tu ndiyo ilikuwa shida yakoHivi ungekuwa wewe ungeweza mpiga picha boss wako? Hata hivyo ni sawa kurusha picha za staff wenzio za fumanizi?
Kama huamini hakuna shida mim nilipost kushare nawenza kilichotokea si kutaka kila mtu aamini.