Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

Kuna mwingine kaja Jana kuomba ushauri baba Ni mtumishi Wana mtoto 1 lakini jamaa Ana mwaka hatoi matumizi akitoa Ni ELFU 2000 au 3000 kwa mwezi mzima.wadau Kama huyo utamshauri Nini Kama si aende mahakamani TU.
 
HAPO KINACHOTAFTWA NI KUGAWANA MALI WALA SI TENDO LA NDOA!
Na ukichunguza sana unakuta huyo mwanamke ndo alianza kuchepuka mzee akaamua kutokumpa talaka kuhofia Mali,
Huenda mzee Mali kaona azihamishe taratibu kwa watoto!
Huyo mwanamke kagundua mchezo kaona aje na ombi la talaka kwa kukosa unyumba!

LAKINI LENGO NI MALI NA NYUMBA!
Kama watoto wa huyo mzee ni wakubwa wanajitambua;
Dawa ni kupita naye hivi huyo mwanamke mapema sana! Kosakosa aokote hata makopo potelea mbali
Uko vizuri alogwe sio
 
Age difference ya miaka 20 anategemea mzee wa miaka 62 si ajabu na kisukari kimo ndani awe anafunga goli kila asubuhi.
Yes probably huyo mzee ameugua akashindwa kuendelea na michakato ya chumbani.

Angeoa angalau wanaeendana nae umri hizi fedheha zingempitia mbali maana ingekuwa rahisi kumvumilia. Sasa huyu 42 anajiona bado ana muda mrefu wa kula maisha.
 
Ni wazi kuwa anakamuliwa nje, ila anataka wapewe talaka wagawane mali.
 
Back
Top Bottom