Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

Mimi kama hakimu, hiyo case ningeifutilia mbali...kisayansi kwa umri huo hutarajii mwanaume kuwa na sex drive kubwa na wakati mwingine kukosa kabisa...
Kwa hiyo matarajio yako yamfanye mtu akose haki ya unyumba??
Ebu kuweni serious kidogo!
 
Anataka kuchukua mafao ya mzee

Miaka 62 alafu usikute mzee wa watu ana kisukari jogoo hapandi mtungi
 
62 kwa 42, gape la miaka 20. Hapo dada anataka wagawane mali akaolewe na umri wake.

FUNZO: Wazee wenzangu tuoe umri wetu
Mkuu nimeshindwa kukuunga mkono kwa swali lifuatalo.

Mkioana umri mmoja na mwanamke, baadaye akafikwa na 'menopause' kwa umri wa miaka 47 kama baiolojia inavyosema, wakati huo wewe ukiwa bado upo 'gado', utaenda mahakamani kudai talaka kwa kosa la 'kunyimwa'?

Tuanzie hapo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom