Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
🤣🤣🤣🤣🤣We jamaaNikikuta umechelewa kupika kifiro
Nikikuta unachat na wanaume wengine kifiro
Nikiacha hela ya nyama nikakuta maharagwe kifiro.
Ukichelewa kujib txt kifiro
Daaaaah!!! Kwa hawa dada zetu wa mjini, atajitahidi kila siku akoseee
Sio njombe mkuu wa njombe hatuna izo mamboHuko Njombe si ndiko walipelekewa virainishi wasichubuane?...
Maana kama shahidi wa msingi hajaenda kutoa ushahidi na evidence Act inasema kabisa spouse ni competent na compellable kwenye sexual offencesHiyo kesi akikata rufaa aombe msaada wa wakili ina makosa loopholes nyingi sana za kiufundi anachomoka mchana kweupe
jebra kambole popote alipo apambane akamtoeMaana kama shahidi wa msingi hajaenda kutoa ushahidi na evidence Act inasema kabisa spouse ni competent na compellable kwenye sexual offences
Mkuu akitoka si ataendeleza hiyo michezo kitaani?.Hiyo kesi akikata rufaa aombe msaada wa wakili ina makosa loopholes nyingi sana za kiufundi anachomoka mchana kweupe
Aiseee mahakama gani zinafanya uamuzi wa aina hii?mlalamikaji hakuwahi kufika kortini kutoa ushahidi wake, isipokuwa Mahakama iliamua kuegemea maelezo yake aliyokuwa ameyaandika Polisi
Huyu sio mkorofi huyu ana issue na mke wake tu tena wakikoseana huko, ndio maana hata wife hajaja court ina maana alipeleka case akiwa na hasiraMkuu akitoka si ataendeleza hiyo michezo kitaani?.
Umejikaza hadi umeandika cha maana badala ya duh aiseeDuh kuna watu makatili sana. Jela inamfaa akafundishwe adabu na wababe zaidi yake
Hapa ndo utofauti kati ya mwanaume na mwanamke unakuja..jebra kambole popote alipo apambane akamtoe
Mbona kama vile kuna kasoro kwenye kumtia hatiani mshtakiwa?Mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake.
Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa amekosea ili iwe ndiyo adhabu yake hali ambayo ilimsababishia sehemu zake za siri kuharibika vibaya.
Hata hivyo, mpaka kufikia hatua ya Mbwilo kutiwa hatiani na kufungwa, mlalamikaji hakuwahi kufika kortini kutoa ushahidi wake, isipokuwa Mahakama iliamua kuegemea maelezo yake aliyokuwa ameyaandika Polisi.
Hukumu hiyo ilitolewa Machi 6, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Benedict Nkomola na nakala yake kupatikana Machi 12, ikisema ushahidi uliotolewa umethibitisha mashtaka dhidi ya Mbwilo.
Hakimu amesema katika kesi ya jinai, maelezo ya malalamikaji yanaweza yakatumika kama sehemu ya ushahidi kwa kuwa sheria ya ushahidi inatoa utaratibu wa kushughulika na kesi ambazo mlalamikaji atakuwa hapatikani kutoa ushahidi.
Alipo muingilia kwa mala ya kwanza alichukua hatua gani?Hizi ndoa wamama wanateseka sana
Hapa yaelekea mleta mada kuna kitu huafikiani nacho hebu tupe uzoefuHata hivyo, mpaka kufikia hatua ya Mbwilo kutiwa hatiani na kufungwa, mlalamikaji hakuwahi kufika kortini kutoa ushahidi wake, isipokuwa Mahakama iliamua kuegemea maelezo yake aliyokuwa ameyaandika Polisi.
Hukumu hiyo ilitolewa Machi 6, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Benedict Nkomola na nakala yake kupatikana Machi 12, ikisema ushahidi uliotolewa umethibitisha mashtaka dhidi ya Mbwilo.