brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Unakumbuka hit single ya starehe? Ni nyimbo ya feruz aliomshirikisha proj jay , ni nyimbo iliyoelezea mafunzo mengi kwa vijana kuhusu starehe na maambukizi ya ukimwi
Feruz leo hii afya yake inaendelea kutia shaka kutoka na kudhoofika
Tetesi za mtaani zinasema anajihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya japo mwenyewe anapinga
Feruz leo hii afya yake inaendelea kutia shaka kutoka na kudhoofika
Tetesi za mtaani zinasema anajihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya japo mwenyewe anapinga