Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Unakumbuka hit single ya starehe? Ni nyimbo ya feruz aliomshirikisha proj jay , ni nyimbo iliyoelezea mafunzo mengi kwa vijana kuhusu starehe na maambukizi ya ukimwi
Feruz leo hii afya yake inaendelea kutia shaka kutoka na kudhoofika
Tetesi za mtaani zinasema anajihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya japo mwenyewe anapinga
1474126463548.jpg
 
Huyu jamaa bhana, Kuna kipindi alimuundia zengwe Daz Baba kisa uteja. Daz Baba alikuwa na show Iringa, akategemea masela wake wa kutoka Sinza waje wampe company. Huyu mjomba akawashika masikio Daz Nundaz na washkaji wengine wasiende na akasema Daz Baba sio mwenzao kwasababu mteja, leo kiko wapi? Kabaki tu na sura kama kibaka vile.
 
Back
Top Bottom