Afya ya meno: Wenye meno meupe yanayong'ara mnafanyaje jamani tupeane maujanja, nina hali mbaya

Maji ya chai ni too much
 
NEnda ukasafishwe meno na dentist hutajuta
 
Nenda hospitali kitengo cha meno waambie unahitaji kusafisha meno ila ukishasafishwa zingatia aina bora ya dawa na kupiga mswaki kila unapokula kitu
 
Kama unatumia sana Kahawa au chai yako waweka majani ya chai acha mara moja hivyo viungo vinaharibu sana meno,
Kama mvuta sigara acha pia,

Dawa ya meno tumia Sensodyne extra whitening.
Kumbe?
 
Kama unatumia sana Kahawa au chai yako waweka majani ya chai acha mara moja hivyo viungo vinaharibu sana meno,
Kama mvuta sigara acha pia,

Dawa ya meno tumia Sensodyne extra whitening.
Inapatikana kwenye supermarkets au hata madukani?

2019 - 2021 Colgate walikuwa wana dawa nzuri iitwayo "Maximum Advanced Whitening" ilikuwa nzuri sana, lazima meno yang'ae kama sufi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…