Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.

Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.

Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.

Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
 
Hongera Sana Mkuu.
 
usipooa utaolewa
 
Kijana maisha ya anasa hayatakupeleka kokote. Unaweza wanna wenzako kama wajinga ila huwezi jua amani wanaoipata wakiwa ndani ya ndoa.

Ndoa ina umuhimu kuliko unavyodhani, inatengeneza family unit ya kueleweka, ni njia nzuri sana ya malezi ya watoto wanaowahitaji wazazi wawili kwenye malezi.

Ila ukioa mwanamke sahihi, hizo pesa unazozipoteza kwenye viwanja , mngewekeza pamoja eneo fulani, yeye akawa msimamizi wewe ukawa mkuu wa uwekezaji huo, mngekuwa mbali kimaisha. Siku zote usiwaze kuwa na kitu hichohicho waza expansion.

Mwisho kila mtu ana wakati wake, hao unaowacheka sasa unaweza shangaq baadaye wakafanikiwa kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
 
Hili tukio ni ushahidi tosha wa kataa ndoa

Screenshot_20240610-000458.jpg
 
huwezi jua amani wanaoipata wakiwa ndani ya ndoa.
Wao wenyewe wanakiri kuwa ndoa zao ni msalaba ktk maisha yao.

Ndoa ina umuhimu kuliko unavyodhani, inatengeneza family unit ya kueleweka, ni njia nzuri sana ya malezi ya watoto wanaowahitaji wazazi wawili kwenye malezi.
Umuhimu wa familia ulikuwepo zamani. Siku hizi ni full vurugu, mara baba kaua mtoto au kinyume chake, mara mke kaua mke au kinyume chake, n.k.

Ila ukioa mwanamke sahihi, hizo pesa unazozipoteza kwenye viwanja , mngewekeza pamoja eneo fulani, yeye akawa msimamizi wewe ukawa mkuu wa uwekezaji huo, mngekuwa mbali kimaisha. Siku zote usiwaze kuwa na kitu hichohicho waza expansion.
Kumpata huyo sahihi ndiyo Kuna mtihani mkubwa. By the way, ili kufanya expansion siyo lazima uwe na mke. Nadharia nyingi zinasema "ukitaka kubadili Ulimwengu fanya ukiwa peke yako, lkn ukioa hata kubadili tv station inakuwa ngumu".

hao unaowacheka sasa unaweza shangaq baadaye wakafanikiwa kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
Mafanikio siyo muujiza, bali ni mipango thabiti
 
Back
Top Bottom