jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
inauma sana kukatisha maisha ya binadamu mwenzako. Mungu atusaidieHivi viumbe ni nuksi mkuu.
Imagine kilikatisha uhai wa mtoto wa mwenzie ambapo bado hata wazazi wake hawajafaidi fadhila zake(ADA)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inauma sana kukatisha maisha ya binadamu mwenzako. Mungu atusaidieHivi viumbe ni nuksi mkuu.
Imagine kilikatisha uhai wa mtoto wa mwenzie ambapo bado hata wazazi wake hawajafaidi fadhila zake(ADA)
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Wa kwanza mimi najuta kwann nimechelewa kuoa mapema. Kuoa kuna sitiri mambo mengi sana mwanangu wa kiume ataoa mapema sana mama baba yake nilichelewa kwa kuhofia maisha.JF siku hizi ni kusutana tu, nasubiri atokee mwingine aseme najuta kwanini sikuoa mapema.
Wewe endelea kuponda hizo raha unazozisema ila wakati unakuja na wewe zitakuponda mpaka utajuta 🤣😂😂Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Wapendwa kivipi?jaman mbona kama wapendwa😱
watu wanaomechisha nguo wanaitwa wapendwa 😉Wapendwa kivipi?
Wanaume tunahesabika broupuuzi mtaacha lini
kenge blue
Natafuta mke wa kuoa "soon"
Ukitaka kuona maisha ni magumu, hayaendi mbele wala hayapangiki, basi fanya makosa ktk kumpata mwenza (mke/mume). Haya si maneno yangu bali wahenga waliyanena haya. Nakuja jamvini hapa kwa nia thabiti ya kumpata mwenza wangu. Kwa mdada yeyote mwenye sifa zifuatazo ani-PM. -awe kabila lolote...www.jamiiforums.com
Ukienda kwa nchi za wenzetu waliostaarabika mapema utakuta watu wanaoa wanaachana , wanaoa wanaachana, mwisho wa siku wanajikatia tamaa ya kuoa , Mindset ya waafrika wengi ni kwmba ukioa au ukiolewa at age ya 20 to 30's huyo mwanamke au mwanaume ndio utazeeka nae , huu ni mtazamo uliokwisha ku'expire na ndio mtazamo unaofanya vijana wengi kuogopa ndoa , Mtu akioa au kuolewa afanye hivyo, furaha na mapenzi yakiisha ndoa ivunjwe mambo ya kuvumiliana kwa kigezo cha Strong family na cha kupata wa kuzeeka nae ni kujitoa kafara... uwe mzee au kijana unastahili kupata mapenzi yanayoleta furaha na sio uvumilivu unaondoa furaha , ndio maana mnakufa mapema.Wa kwanza mimi najuta kwann nimechelewa kuoa mapema. Kuoa kuna sitiri mambo mengi sana mwanangu wa kiume ataoa mapema sana mama baba yake nilichelewa kwa kuhofia maisha.
Mbona siye tunanenepa na tunapendeza na tumeoa!?Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
SahihiYupo mzee jirani yetu ana mitoto kama yote lkn yote imesambaa mikoa tofauti kutafuta maisha. Mzee anafanya kugongea msosi hapa home.
Kuzaa siyo kigezo kuwa uzeeni hutapata shida.
Utaratibu wa wapi huo wa gunzi?Hivi kwanini ukifa bila mtoto unatiwa gunzi huko bakta?
Ukienda kwa nchi za wenzetu waliostaarabika mapema utakuta watu wanaoa wanaachana , wanaoa wanaachana, mwisho wa siku wanajikatia tamaa ya kuoa , Mindset ya waafrika wengi ni kwmba ukioa au ukiolewa at age ya 20 to 30's huyo mwanamke au mwanaume ndio utazeeka nae , huu ni mtazamo uliokwisha ku'expire na ndio mtazamo unaofanya vijana wengi kuogopa ndoa , Mtu akioa au kuolewa afanye hivyo, furaha na mapenzi yakiisha ndoa ivunjwe mambo ya kuvumiliana kwa kigezo cha Strong family na cha kupata wa kuzeeka nae ni kujitoa kafara... uwe mzee au kijana unastahili kupata mapenzi yanayoleta furaha na sio uvumilivu unaondoa furaha , ndio maana mnakufa mapema.
Anaetaka kuoa aoe asietaka aache , kwenye kuitafuta furaha hakuna kanuni ya aina moja.