Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaamKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
EgoNaam
Una stress weweeKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Ponda raha ikifika wakati utapondwa na kuomba ufresh😁Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Mtu anaenda vacation ndo kuponda raha.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Starehe zina mwisho utakuja wakati utaitaji faraja ya unao wapenda na hauto kua na hiyo bond wa kukujali itakua TOO LATE.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nadhani ifike mahali waafrika tufungue akili kidogo.
Hivi ni LAZIMA kila mtu aoe/olewe?
Hivi ni LAZIMA kila mtu awe na watoto?
Kwani mtu hawezi kujiamulia mwenyewe aina ya maisha anayotaka kuishi, na sisi kama jamii tukaheshimu maamuzi hayo?
Nadhani matatizo mengi tunayoyaona leo kwenye ndoa yanatokana na watu kuhisi WANALAZIMIKA kuoa/olewa kwa sababu ya shinikizo kutoka kwa jamii.
Ni kweli ndoa ina umuhimu wake, lakini kama wanavyosema wazungu "Marriage is not for everybody".
Pengine kuna watu wangeishi maisha mazuri sana ya amani kama wasingekua kwenye ndoa, ila wanaishia kwenda kuteswa kwenye ndoa miaka nenda rudi, mwisho wengine wanauawa, wanapigwa, wanakufa kwa presha nk kisa jamii imeng'ang'ania kila mtu aolew
Kwa akili hz na hapa ndo kwa magreater thinker Tanzania tutasubiri snNadhani ifike mahali waafrika tufungue akili kidogo.
Hivi ni LAZIMA kila mtu aoe/olewe?
Hivi ni LAZIMA kila mtu awe na watoto?
Kwani mtu hawezi kujiamulia mwenyewe aina ya maisha anayotaka kuishi, na sisi kama jamii tukaheshimu maamuzi hayo?
Nadhani matatizo mengi tunayoyaona leo kwenye ndoa yanatokana na watu kuhisi WANALAZIMIKA kuoa/olewa kwa sababu ya shinikizo kutoka kwa jamii.
Ni kweli ndoa ina umuhimu wake, lakini kama wanavyosema wazungu "Marriage is not for everybody".
Pengine kuna watu wangeishi maisha mazuri sana ya amani kama wasingekua kwenye ndoa, ila wanaishia kwenda kuteswa kwenye ndoa miaka nenda rudi, mwisho wengine wanauawa, wanapigwa, wanakufa kwa presha nk kisa jamii imeng'ang'ania kila mtu aolewe.
Mwanaume unaogopa ndoaKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nenda kapige chaputa uhifadhi Mayai au mbegu muhimbiliKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nimecheka sana mkuu.Ponda mali uzee waja...Je watoto unao ama ndo ukifa tukutie nguzi huko kwa rutu.Wenzako wana familia ww baba yako angetaka aponde raha ww si ungeishia kwenye condom ukatupwa jalalaani 😎
Na atanyimwa 🤣🤣🤣Ponda raha ikifika wakati utapondwa na kuomba ufresh😁
Hakuna aliyewahi kufa kisa hajaoa ama kuolewaKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Safi[emoji4][emoji4][emoji92]Wao wenyewe wanakiri kuwa ndoa zao ni msalaba ktk maisha yao.
Umuhimu wa familia ulikuwepo zamani. Siku hizi ni full vurugu, mara baba kaua mtoto au kinyume chake, mara mke kaua mke au kinyume chake, n.k.
Kumpata huyo sahihi ndiyo Kuna mtihani mkubwa. By the way, ili kufanya expansion siyo lazima uwe na mke. Nadharia nyingi zinasema "ukitaka kubadili Ulimwengu fanya ukiwa peke yako, lkn ukioa hata kubadili tv station inakuwa ngumu".
Mafanikio siyo muujiza, bali ni mipango thabiti
Jibu hoja zao, usulaumu tu.Kwa akili hz na hapa ndo kwa magreater thinker Tanzania tutasubiri sn
Taja faida za ndoa. Wenzako tumebaininya kwamba ndoa haina faida, labda wewe kama unazifahamu faida zake utujuze.Mwanaume unaogopa ndoa
Swadaktaa! Umetisha sanaHakuna aliyewahi kufa kisa hajaoa ama kuolewa
Ila tunashuhudia wengi tu wanakufa kwa kuwa na wenzi wasio sahihi kwenye maisha yao
Ukipata nafasi ya kuwa single basi furahi katika namna ambayo utakuja kuimiss ukiingia kwenye ndoa
Enjoy your single life mate