Hongera Sana Mkuu.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Majina haya ya baba, Babu n.k hayanaga faida. Hata nikiyakosa hakuna shida.HAYA WEEE ENDELEA TUUU UTAITWA BABA BABU MUDA UKIFIKA
usipooa utaolewaKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Yupo mzee jirani yetu ana mitoto kama yote lkn yote imesambaa mikoa tofauti kutafuta maisha. Mzee anafanya kugongea msosi hapa home.Nyinyi ndio mtakuja kutusumbua baadaye ,ponda sanaaa ,kula kila nyama inayopita mbele yako mwisho tutaonaa
Kijana maisha ya anasa hayatakupeleka kokote. Unaweza wanna wenzako kama wajinga ila huwezi jua amani wanaoipata wakiwa ndani ya ndoa.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Wao wenyewe wanakiri kuwa ndoa zao ni msalaba ktk maisha yao.huwezi jua amani wanaoipata wakiwa ndani ya ndoa.
Umuhimu wa familia ulikuwepo zamani. Siku hizi ni full vurugu, mara baba kaua mtoto au kinyume chake, mara mke kaua mke au kinyume chake, n.k.Ndoa ina umuhimu kuliko unavyodhani, inatengeneza family unit ya kueleweka, ni njia nzuri sana ya malezi ya watoto wanaowahitaji wazazi wawili kwenye malezi.
Kumpata huyo sahihi ndiyo Kuna mtihani mkubwa. By the way, ili kufanya expansion siyo lazima uwe na mke. Nadharia nyingi zinasema "ukitaka kubadili Ulimwengu fanya ukiwa peke yako, lkn ukioa hata kubadili tv station inakuwa ngumu".Ila ukioa mwanamke sahihi, hizo pesa unazozipoteza kwenye viwanja , mngewekeza pamoja eneo fulani, yeye akawa msimamizi wewe ukawa mkuu wa uwekezaji huo, mngekuwa mbali kimaisha. Siku zote usiwaze kuwa na kitu hichohicho waza expansion.
Mafanikio siyo muujiza, bali ni mipango thabitihao unaowacheka sasa unaweza shangaq baadaye wakafanikiwa kwa kudra za Mwenyezi Mungu.