Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

Hii hapa 👇















 
Mkuu, unadhani kuwa hawaoni???? Shida ni mbili

Kuna kundi moja ni haters! Wao wana chuki tu, so wanajaribu kusambaza chuki hiyo, na

Kundi la pili wao ni walalamikaji, kila siku, kila saa wananung'unika na kulalamikia kila kitu. Yaani wakipata mtu wa kulaumu wanatua baadhi ya mizigo waliyobeba kichwani.
 

Hata Royal Tour tumedesa yaaani copy paste paaa. Hakuna elite think tank ya to mechanize economy. Jamaa juu pale ana hoja
 
Hebu taja kipengele angalau kimoja tu cha ilani ya ccm chenye shida halafu useme shida yake ni nini!
If i did not know TZ, i would not come to TZ because of Royal Tour Documentary. The documentary lacks contents, a lot of tourism attractions have been left out. Where is Lake Victoria, Tanganyija, Nyasa in the documentary? Where is Nyerere, Ruaha National Parks? Where is KatAvi, Burigi, Rubondo national parks? I did not even see much of Serengeti in the doc , it was just like passing by. Why Manyara is left out. You left it up to Peter decide for you what to share with the world, and he surely let you down. He took your milions and you will not get tourists coming to TZ with that poorly made documentary. Find another way to share TZ with the world. Take control of what goes on the documentary, or an ad, have a say, dont let the Peters decide what is good or bad for you. Speak for your country, advertise what is less known, leave aside well known attractions of Serengeti , Ngorongoro, Kilimajaro, Tanzania is known for these three including Zanzibar. TZ is blessed with plenty, share them with the world. Give tourists a reason why they should visit TZ and do it yourself, dont leave it to Peter.
 
Uko sahihi,haters Wanaongozwa na sukuma gang yaani wamewazidi hadi wapinzani..

Walalikaji wao Wanaongozwa na mfumo dume 😆😆
 
Hata Royal Tour tumedesa yaaani copy paste paaa. Hakuna elite think tank ya to mechanize economy. Jamaa juu pale ana hoja
Ok, toa mawazo mbadala matano, kwamba ni nini cha ziada kifanyike ku boost utalii amma kwa ku copy au kwa kubuni kitu kipya na naamini kama utakuwa na mawazo ya maana yatafanyiwa kazi maana mawazo mengi ya maana humu yamekuwa yanafanyiwa kazi.
 
Fikra finyu sana.

Unasahau kuwa haohao watalii ndio kati yao ni wawekezaji. Bila mwekezaji kuja kujionea kwako una nini atawekeza nini? Ushuzi wake?

Fursa za kuwekeza haziotwi au kuchomoza tu. Kuwekeza ni feelings na huwezi kumfanya mtu a feel kuwekeza bila kujionea yeye mwenyewe na kuamua yeye mwenyewe fursa zilizokuwepo, mimi nakushauri mleta badala badala ya kuongea hovyo, zitumie fursa zilizokuwepo uweze kuzifanya mafanikio. Bila kufunguliwa na kuziona fursa utawekeza hewa?
 
Kwani haujui kwamba kila kitu duniani kila strenghs na weaknesses au advantages na disadvantages? Yaani kila kitu kila two extremes so suala unaangalia kipi kinazidi.

Au nitajie kitu kimoja tu ambacho ni perfect duniani. Hata hivyo vyote vingeoneshwa, ungesema sasa mbona filamu ndefu sana, muda wa kuangalia vyote hivyo utatoka wapi? Si wangechagua vichache vya muhimu zaidi? Hiyo ndio mwanadamu alivyo
 

"Ulitaka atudanganye kuwa tutaingia uchumi wa kati na sisi ni dona kantri wakati anajua sio?".
 
Wewe ungekuwa rais, ungefanya nini kuzuia mfumuko wa bei? Mfano ungefanyaje ili mafuta yasipande?

Wapigwe tu, tuneshachoka! Kama mtu anaambiwa kitu hasikii lazima atapigwa tu!

Kwa hiyo wewe kwa akili yako unadhani nchi kama nchi hazina endogenous measures kudhibiti inflation!!!?

Azizi Mussa
 
Swadakta! Mama anachofanya anafuata utaratibu wa kisayansi wa kukuza uchumi na kuvutia wawekezaji tofauti na kilichokuwa kinafanyika hapo awali "forced economic growth" yaani unalazimishia watu kuwekeza, unapora watu vitu, halafu unadanganya hukopi wakati unakopa, unadanganya sukari imeshuka bei wakati imepanda, unadanganya umekuwa donor wakati ni recepient na.k. Mama ni mtu muadilifu na anayeamini kwenye scientific management. Yaani kutumia akili nyingi na msuli kidogo.
 
Nani aliouzuwia uchumi wa gas wa Kikwete?

Umekazana "mlituambia" "mlituambia", wewe akili zako zi[po livu? umekaaa kungoja kuambiwa tu? Kwanini hufanyi wewe yako unayoyaona ya maana? Ulikatazwa na nani kutatua matatizo yako kwa fikra zako?

Wewe ni juha, tena ni zaidi ya juha kungoja mwengine aje kutatua tatizo lako.

Kwa fikra hizo za kungoja ufanyiwe, si hasha unanoja ufanyiwe na wengine mpaka ya nyumbani kwako.
 
Hilo ni wazi kabisa na kalisema kidiplomasia kabisa alipopofanya mahojiano na Tido Mhando.
 
Agree to disagree, ypu missed
Agree to disagree, you missed the oppprtunity with this Royal Tour documentary, a lot to learn from it. No value for money
Peter fooled you big time.
 
If everything that attracts tourists should be included in the movie then it would be a very long one. They summarized it and hopefully world viewers know the intention of it being somehow shorter. Main contents are in the movie and that is important.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…