Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

Great thinker[emoji109]
 

Naona Bibi kwako hoja yako ni matusi reja reja tu?!! Enzi za Magufuli ulipotea,ameibuka mwenye imani mwenzetu umeibuka?!!

Kila raia anayo haki kuhoji mambo ya husuyo uchumi na kijamii,hakuna mwenye hati mililki na nchi hii peke yake.

Kama vile ilivyo haki kwenu kusifia,pia Ni haki kwa wengine kuhoji na kukosoa.

Bibi jikite kwenye hoja ya andiko baadala ya matusi ya reja reja ambayo hakika yana ujuha mwingi Ila hayafai kwa mkongwe na mtu mzima wa karba yako!!
 
Agree to disagree, ypu missed

Agree to disagree, you missed the oppprtunity with this Royal Tour documentary, a lot to learn from it. No value for money
Peter fooled you big time.
You are simply a negative fool.

Fooled, who? Do you think you or Peter can fool those who are making billions daily, those who inevested on making the royal tour? Pathetic fool.
 
You are simply a negative fool.

Fooled, who? Do you think you or Peter can fool those who are making billions daily, those who inevested on making the royal tour? Pathetic fool.
Wont try to urgue with small mind my dear, your capacity is very low. It is a waste of my time trying to urgue with type of you.
 
Kumbe wewe tatizo lako ni kitambaa cha kichwani na wala sio uchumi. Hata mimi nilishahisi hivyo toka mwanzo maana hata hoja critical za kiuchumi.
 
Kufungua uchumi
Apewe muda, kuna muda wa kusafisha shamba, kuna muda wa kuotesha, kupalilia, kupiga dawa, kuvuna halafu ndio kula. Sasa kuna watu wanataka baada ya kuotesha asubuhi mchana wanavuna usiku wanakula, dunia haiko hivyo.
 
Wont try to urgue with small mind my dear, your capacity is very low. It is a waste of my time trying to urgue with type of you.
I've given you a lesson you wont forget. Just for your infotion, My mind didn't even bother when giving you a lesson. You are not worth an iota of my mind

You are simply an uneducated fool from an uneducated school.
 
Uzi umetoka kwenye kujadili hoja ya msingi na kwenda kwenye kashfa za maneno ya hovyo na lugha zisizo na staha mwisho mtaingiza udini

"Akili kubwa hujadili hoja akili ya wastani hujadili matukio na akili ndogo kabisa hujadili watu"Socrates
 
Wewe ungekuwa rais, ungefanya nini kuzuia mfumuko wa bei? Mfano ungefanyaje ili mafuta yasipande?

Wapigwe tu, tuneshachoka! Kama mtu anaambiwa kitu hasikii lazima atapigwa tu!
Zuia ufisadi, punguza mbwembwe, tulia dodoma, teua wenye akili, bana matumizi, toa ruzuku, punguza kodi,
 
Zuia ufisadi
Ufisadi ni suala complicated haliwezi kukomeshwa na mtu mmoja. Inatakiwa uwajibikaji binafsi, wa kijamii na kitaasisi. Kwa bahati mbaya tanzania tu na tatizo kubwa la kijamii la ukosefu wa uaminifu, na hilo ndio husababisha kazi ya kupambana na ufisadi kuwa ngumu sana.
 
Waachie wanaoweza
 
Waachie wanaoweza
Ambao ni kina nani? Umejuaje kuwa wao wanaweza? Watatumia njia gani kumaliza tatizo la kijamii nililoeleza hapo juu? Au ndio majibu cheap kwa maswali magumu? Au umeshadangwanywa mahali ukadanganyika?
 
Kujenga madarasa na nabkuaparua mabarabara.
Utaongeza na tozo.
 
Nguvu nyingi zinatumika kwenye mambo yasiyokuwa na tija hiyo ndio hoja ya mleta mada ambayo inaeleweka kabisa.
 
Walitakiwa wakafanye Promo Italy, France, Germany mana ndio nchi zinazoleta watalii wengi kwetu na bado kuna potential ya ku grow zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…