Anastahili kupokwa nishani zote,ni mtu smart sana huwezi kujua lengo lake mpaka umsome between the linesMkuu wangu
Hebu kuwa precise, anachochea nini na kwa nani?
Ukisoma post yangu huko juu utaelewa kuwa Mohamed Said anastahili nishani
Mkuu mdukuzi hakuna kitu kinachochea machafuko Tanzania kama uongozi mbovu wa CCM. Kwa jinsi ninavyoona kulivyo na vijana wengi wasio na kazi halafu Samia na wenzake ndiyo kwanza wanastarehe na kupuuza kuwajibika huwa nasema siku ya siku ikifika nchi itawaka moto.Huyu mzee sio kilaza ila ni mchochezi
Tatizo liko pande zote,CCM na sie wananchi,tumesinzia sana,tuamkeMkuu mdukuzi hakuna kitu kinachochea machafuko Tanzania kama uongozi mbovu wa CCM. Kwa jinsi ninavyoona kulivyo na vijana wengi wasio na kazi halafu Samia na wenzake ndiyo kwanza wanastarehe na kupuuza kuwajibika huwa nasema siku ya siku ikifika nchi itawaka moto.
Nakubaliana na wewe. Tena sisi wananchi ndiyo tatizo zaidi.Tatizo liko pande zote,CCM na sie wananchi,tumesinzia sana,tuamke
Acha upumbavu huu, mtu anayesema ukweli mnamkatisha tamaa,kwa sababu mazoea ya kuambiwa uongo, Mzee Said endelea na usikatishwe tamaa na vilaza hawaHuyu mzee wangu wa Gerezani aangaliwe vizuri.
Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini,nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu.
Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu,.
Mohamed Said anajiita hi historian lakini ukumfuatilia hana anachojua zaidi ya historia ya kariakoo.
Maandishi yake yana udini ndani yake,mara nyingi huwa ndio agenda kuu ya kila anachoandika,udini.
Ngugi wa Thiong'o aliwahi kutunga kitabu akasfiwa na mzee Kenyatta kumbe kItabu kinamsema vibaya,alitumia literature,ambayo kila mtu huwa na tafsiri yake.
Kwa tuliosoma literature na history tunamuekewa sana huyu mzee,aporwe tuzo alizowahi kupewa.
Kuna kitabu cha The Modern World Since 1870 by L Snelgrove kinaelezea nchi nyingi za ulaya zilivyoingia vitani kwa sababu ya watu dizaini ya huyu mzee.
Huyu mzee sio kilaza, yupo vizuri kichwani ila agenda yake ina ukakasi,ndio maana kipindi cha Nyuma alijistukia akawa anaandika kimachale machale kumuogopa bwana yule.
Riwaya hupingwa kwa Riwaya bana weee ......Huyu mzee wangu wa Gerezani aangaliwe vizuri.

Ulishawah kuiona passport yake???Mzee ni sympathiser kwa mujibu wa intelijensia ya marekani. Hata pasport yake ina kamuhuri kanako thbtsha hlo na nahis anajua kua amerca inamchukulia kama mtu aoneaye huruma magaid.
Akikanusha muhusika nitakujbu swali lakoUlishawah kuiona passport yake???
Hao wanafiki USA wakikuita gaidi basi ujue ni kinyume chake ndio ukweli. Na hili limeonekana kwa Mandela kabla ya uhuru alikua gaidi baada ya uhuru wakampokea huko kama shujaa sababu ya maslahi yao.Mzee ni sympathiser kwa mujibu wa intelijensia ya marekani. Hata pasport yake ina kamuhuri kanako thbtsha hlo na nahis anajua kua amerca inamchukulia kama mtu aoneaye huruma magaid.
Huna lolote unalojua..Wewe unataka aandike historia unayoipenda wewe badala ya ile anayoijuwa yeye.Historia yako haiwezi kumsaidia yoyote..Huyu mzee wangu wa Gerezani aangaliwe vizuri.
Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini,nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu.
Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu,.
Mohamed Said anajiita hi historian lakini ukumfuatilia hana anachojua zaidi ya historia ya kariakoo.
Maandishi yake yana udini ndani yake,mara nyingi huwa ndio agenda kuu ya kila anachoandika,udini.
Ngugi wa Thiong'o aliwahi kutunga kitabu akasfiwa na mzee Kenyatta kumbe kItabu kinamsema vibaya,alitumia literature,ambayo kila mtu huwa na tafsiri yake.
Kwa tuliosoma literature na history tunamuekewa sana huyu mzee,aporwe tuzo alizowahi kupewa.
Kuna kitabu cha The Modern World Since 1870 by L Snelgrove kinaelezea nchi nyingi za ulaya zilivyoingia vitani kwa sababu ya watu dizaini ya huyu mzee.
Huyu mzee sio kilaza, yupo vizuri kichwani ila agenda yake ina ukakasi,ndio maana kipindi cha Nyuma alijistukia akawa anaandika kimachale machale kumuogopa bwana yule.
Mandela na mzee mudi ni mbingu na ardhi. Kama hujaelewa hoja sio lazma uchangieHao wanafiki USA wakikuita gaidi basi ujue ni kinyume chake ndio ukweli. Na hili limeonekana kwa Mandela kabla ya uhuru alikua gaidi baada ya uhuru wakampokea huko kama shujaa sababu ya maslahi yao.
Unapotukana inaonyesha weww kichwani huna hoja...wenye akili watakujibuWewe ni pumbavu
Maisha yamekupiga badala ya kutafuta huo mlo mmoja unaoweza kwa siku unashobokea vitu visivyokuhusu
What an idiot
Amekuchochea kufanya Nini...?Huyu mzee sio kilaza ila ni mchochezi
Mdukuzi,Huyu mzee wangu wa Gerezani aangaliwe vizuri.
Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu.
Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu,.
Mohamed Said anajiita hi historian lakini ukumfuatilia hana anachojua zaidi ya historia ya kariakoo.
Maandishi yake yana udini ndani yake,mara nyingi huwa ndio agenda kuu ya kila anachoandika, udini. Ngugi wa Thiong'o aliwahi kutunga kitabu akasfiwa na mzee Kenyatta kumbe kItabu kinamsema vibaya,alitumia literature,ambayo kila mtu huwa na tafsiri yake.
Kwa tuliosoma literature na history tunamuekewa sana huyu mzee,aporwe tuzo alizowahi kupewa.
Kuna kitabu cha The Modern World Since 1870 by L Snelgrove kinaelezea nchi nyingi za ulaya zilivyoingia vitani kwa sababu ya watu dizaini ya huyu mzee.
Huyu mzee sio kilaza, yupo vizuri kichwani ila agenda yake ina ukakasi,ndio maana kipindi cha Nyuma alijistukia akawa anaandika kimachale machale kumuogopa bwana yule.
Mdukuzi,
Huyu mzee.
Nimependa sana namna unavyosisitiza umri wangu kila baada ya muda.
Unadhani nadhalilika kwa wewe kuutangaza uzee wangu.
Hapana.
Sidhaliliki.
Namshukuru Allah kwa kunijaalia umri.
Namshukuru Allah kwa ujana nilioufaidi na kwa huu uzee.
Unatangaza kuwa mimi ni hatari kwa usalama wa taifa.
Unamtangazia nani?
Chuki na hasad vimekutawala.
Vyombo vya habari ikiwemo TBC wamenialika mara kadhaa kwenye studio zao kunihoji na wamefika nyumbani kwangu kwa mahojiano.
Hizi si sifa za mtu hatari kwa usalama wa taifa?
Nani nchi hii asiyemfahamu Mohamed Said kwa sauti na picha?
Sijapata kujificha.
Wewe umenijua hapa JF kwa picha na kwa sauti yangu.
Kitabu cha Abdul Sykes kinachokuchoma moyo kipo sasa mwaka wa 25 na kimechapwa mara nne nje ya nchi Uingereza, Kenya na India na kimeingia nchini bila matatizo yoyote.
Kitabu hakijapigwa marufuku.
Napenda kukufahamisha kuwa kitabu na paper nyingi nimeandika nikiwa kijana.