Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaji...Umempa attention asiyokua nayo binafsi sioni Cha kuhatarisha amani katika maaandishi yake wala hayana nguvu yeyote ya kuathiri fahamu za watu, humu Kuna kila aina ya watu wanaosoma maandishi yake wangeona yana impact yeyote bas wangeshamnyoa kipara kitambo sana
Ile historia ni ya familia yake tu ambayo yy kaamua kuandika kutunza kumbu kumbu zake kwa faida ya vizazi vyake bas lakini kwa mawanda ya kitaifa sidhani kama ni dili sana na Wala haina tija sana
Huoni kwamba akiweza kuwavuruga kiakili wapuuzi wengine kadhaa kama wewe ni hatari kwa taifa? Kitendo cha wewe kukubali kuwa waislamu wanaonewa baada ya kumsoma Mohamed Said ni ushindi kwa huyo mzee kwenye agenda yake ovu ya kueneza chuki.Nasimama kumtetea mzee Mohamed Said
Pale mwanzoni wakati anajiunga na JF akaanza kuweka makala zake nilikuwa namuona ni instigator fulani hivi. Lakini nikajipa muda kusoma makala zake kwa kina nikagundua huyu mzee anastahili nafasi kwenye jamii kwa sababu amesimama kutueleza ukweli uliofichwa kuhusu Tanzania hii unayoiona.
Kitu kingine nimeelewa namna uhalifu wa kijamii unaotendwa na state against Muslims kielimu ba kihistoria. Kuna mambo tunapaswa kuyaangalia kwa kina ili kuondoa future commotions kama zinazoendelea maeneo mengine duniani.
Nasema hivii, nasema hivii. Tumkosoe Mzee Mohamed kwa hoja bila kuinstigate chuki na kupeana majina mabaya
Nakuunga mkono. Mzee Mohamed Said anastahili nishani ya juu ya uchochezi.Mkuu wangu
Hebu kuwa precise, anachochea nini na kwa nani?
Ukisoma post yangu huko juu utaelewa kuwa Mohamed Said anastahili nishani
Kama uliwekewa hicho kikwazo itoshe kusema kwamba wewe ni mtu hatari.Lugoda,
Stori hiyo yangu mimi na Wamarekani umeisoma kwangu.
Ingependeza ungefanya rejea kwangu, yaani, "acknowledgement."
Wamarekani hivi sasa wameniondolea hicho kikwazo ingawa niliingia Marekani nikiwa bado ninacho.
Mpaji,Taarifa nyingi unazotoa ww ni za kusimuliwa na either wazee wenyewe, wake zao na watoto wao sasa masimulizi kama hayo yanathibitishwaje? Una nyaraka zozote uziweke hapa mbali na picha?
Zngn tutaendelea kuulizana
Kabisa..kila mtu yu huru kuandika..mambo ya usalama wapi na wapi...Mohammed Said is good tena ni mtu mwenye staha sana....mie mwenyewe nakiri simkutii hata nusu manake kuna mambo ya hovyo kuhusu historia ya nchi hii....kila nikitaka kuandika naishia kutukana manake ni ya hovyo sana maamae.Wewe huna hoja yoyote ya maana. Huyu unaemshutumu kasoma na KAISHI ndani ya hiyo historia anayo zungumzia.
Lazima pale historia ilipo pindishwa inyooshwe hii ni kwa maslahi ya jamii yote. Kama una hoja tofauti na anayoandika leta hoja na ushahidi wako tuamue na sio kushutumu kws kuleta mambo ya usalama.
Wote tunaomba nchi yetu ibaki salama hata kama tuna mawazo tofauti.
Mzee Mohammef endelea na kazi. We ni Johari ya historis ilio hai.
Haya Sasa ni matusi Kwa Mzee Mohamed ,Kwa unayoandika Halafu unajaribu kujinganisha naye ni dharau kubwa sana.Tumnyonge lakini hakiye tumpe!Kabisa..kila mtu yu huru kuandika..mambo ya usalama wapi na wapi...Mohammed Said is good tena ni mtu mwenye staha sana....mie mwenyewe nakiri simkutii hata nusu manake kuna mambo ya hovyo kuhusu historia ya nchi hii....kila nikitaka kuandika naishia kutukana manake ni ya hovyo sana maamae.
Allen...Iliyokuwa imeandikwa sivyo kivipi??
Kwamba Nyerere alikwenda UNO wakati hakwenda??
Mene...Kwamba yeye ni sympathiser ? Anhaa nop mzee wangu hili sitaki kuliamini wala kulisikia .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nakubaliana nawe. Huyu mzee huwa ananuka udini. Ni mtumwa wa kiarabu wa kujitakia. Kila akiongea au kuandika, unaona sumu na udini visivyo mithalikaHuyu mzee wangu wa Gerezani aangaliwe vizuri.
Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu.
Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu,.
Mohamed Said anajiita hi historian lakini ukumfuatilia hana anachojua zaidi ya historia ya kariakoo.
Maandishi yake yana udini ndani yake,mara nyingi huwa ndio agenda kuu ya kila anachoandika, udini. Ngugi wa Thiong'o aliwahi kutunga kitabu akasfiwa na mzee Kenyatta kumbe kItabu kinamsema vibaya,alitumia literature,ambayo kila mtu huwa na tafsiri yake.
Kwa tuliosoma literature na history tunamuekewa sana huyu mzee,aporwe tuzo alizowahi kupewa.
Kuna kitabu cha The Modern World Since 1870 by L Snelgrove kinaelezea nchi nyingi za ulaya zilivyoingia vitani kwa sababu ya watu dizaini ya huyu mzee.
Huyu mzee sio kilaza, yupo vizuri kichwani ila agenda yake ina ukakasi,ndio maana kipindi cha Nyuma alijistukia akawa anaandika kimachale machale kumuogopa bwana yule.
Maalim Faiza,Niko pembeni natazama watu wanavyokumbana na vimondo kila wanapotia pua.
Allah akupe umri mrefu na akuzidishie hikma kaka yangu alama Mohamed Said.