Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Lugoda,Mzee ni sympathiser kwa mujibu wa intelijensia ya marekani. Hata pasport yake ina kamuhuri kanako thbtsha hlo na nahis anajua kua amerca inamchukulia kama mtu aoneaye huruma magaid.
Ahaaa.nitaendelea kukuita Mzee maana ni jina la heshima,wewe ni mzee wetu kiumri umetuzidi wengi humu,Mdukuzi,
Huyu mzee.
Nimependa sana namna unavyosisitiza umri wangu kila baada ya muda.
Unadhani nadhalilika kwa wewe kuutangaza uzee wangu.
Hapana.
Sidhaliliki.
Namshukuru Allah kwa kunijaalia umri.
Namshukuru Allah kwa ujana nilioufaidi na kwa huu uzee.
Unatangaza kuwa mimi ni hatari kwa usalama wa taifa.
Unamtangazia nani?
Chuki na hasad vimekutawala.
Vyombo vya habari ikiwemo TBC wamenialika mara kadhaa kwenye studio zao kunihoji na wamefika nyumbani kwangu kwa mahojiano.
Hizi si sifa za mtu hatari kwa usalama wa taifa?
Nani nchi hii asiyemfahamu Mohamed Said kwa sauti na picha?
Sijapata kujificha.
Wewe umenijua hapa JF kwa picha na kwa sauti yangu.
Kitabu cha Abdul Sykes kinachokuchoma moyo kipo sasa mwaka wa 25 na kimechapwa mara nne nje ya nchi Uingereza, Kenya na India na kimeingia nchini bila matatizo yoyote.
Kitabu hakijapigwa marufuku.
Napenda kukufahamisha kuwa kitabu na paper nyingi nimeandika nikiwa kijana.
Jiwe...Ngoja aje na mapicha yake aliyopiga ulaya na marekani[emoji28]
Jiwe...
Nabadilisha nakuja na mapicha kutoka Afrika:
Faiza Foxy sio threat maana hana knowledge kichwani ila wewe ???
Ukimuita Mohamed Said bila ya kumuita FaizaFoxy unakuwa kama unajipiga ngwala wewe mwenyewe.
Hiyo ni Sarafu moja yenye pande mbili.
Hoja makini sana!!Ile historia ni ya familia yake tu ambayo yy kaamua kuandika kutunza kumbu kumbu zake kwa faida ya vizazi vyake bas lakini kwa mawanda ya kitaifa sidhani kama ni dili sana na Wala haina tija sana
Na mengi sana ya kuandika lkn hua hajibu hoja ukimchallenge kidogo hajibu hoja anaanza porojo zngnHoja makini sana!!
Massa,Mzee Mohamed said mimi bado naitaji kujua tu kauli yako au mawazo yako nini kifanyike kupunguza au kuondoa kabisa malalamiko ya waislam wa Tanganyika ya siku nyingi? Matatizo kweli yapo sasa nini kifanyike. Toa japo ushauri ata kama hautazingatiwa Ila utakua umeshasema ha hutokua na deni hapa duniani
Ajenda ya Siri ,unamanisha udini-zationAhaaa.nitaendelea kukuita Mzee maana ni jina la heshima,wewe ni mzee wetu kiumri umetuzidi wengi humu,
Mimi nasoma sana maandiko yako na nikiri tu kuwa una kipaji cha kuandika na akili kichwani zimo sana,unajua unachokifanya,watu wengi husoma maandiko yako kama wanasoma gazeti,ila una agenda ya siri umeificha ndani yake
Mpaji...Na mengi sana ya kuandika lkn hua hajibu hoja ukimchallenge kidogo hajibu hoja anaanza porojo zngn
Alisema ukweli ,Si atakosa nguvu ya kulalamika?Kamchezo alikokazoea!Mzee Mohamed said mimi bado naitaji kujua tu kauli yako au mawazo yako nini kifanyike kupunguza au kuondoa kabisa malalamiko ya waislam wa Tanganyika ya siku nyingi? Matatizo kweli yapo sasa nini kifanyike. Toa japo ushauri ata kama hautazingatiwa Ila utakua umeshasema ha hutokua na deni hapa duniani
Iliyokuwa imeandikwa sivyo kivipi??Massa,
Huo si uwanja wangu mimi nimesahihisha historia iliyokuwa imeandikwa sivyo.
Nilulize kuhusu hilo.
Wamarekan walikuwekea kikwazo gan na ni kidubwasha gan walichokiweka kwenye passport yako???Lugoda,
Stori hiyo yangu mimi na Wamarekani umeisoma kwangu.
Ingependeza ungefanya rejea kwangu, yaani, "acknowledgement."
Wamarekani hivi sasa wameniondolea hicho kikwazo ingawa niliingia Marekani nikiwa bado ninacho.
Taarifa nyingi unazotoa ww ni za kusimuliwa na either wazee wenyewe, wake zao na watoto wao sasa masimulizi kama hayo yanathibitishwaje? Una nyaraka zozote uziweke hapa mbali na picha?Mpaji...
Sijibu hoja ipi?
Niulize nikupe jibu labda kama jibu unalotaka si ninalokupa.