lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Mudi kuna wakati alikuwa anafuga magaidi na kuwasafirisha kwenda kwa Aboud Rogo Kenya waende kwa Al shabab.Huyu anatakiwa kutengwa na hata msikitini anakoswali,ni wa kuogopwa kama ukoma.Mzee ni sympathiser kwa mujibu wa intelijensia ya marekani. Hata pasport yake ina kamuhuri kanako thbtsha hlo na nahis anajua kua amerca inamchukulia kama mtu aoneaye huruma magaid.