Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

Mzee ni sympathiser kwa mujibu wa intelijensia ya marekani. Hata pasport yake ina kamuhuri kanako thbtsha hlo na nahis anajua kua amerca inamchukulia kama mtu aoneaye huruma magaid.
Mudi kuna wakati alikuwa anafuga magaidi na kuwasafirisha kwenda kwa Aboud Rogo Kenya waende kwa Al shabab.Huyu anatakiwa kutengwa na hata msikitini anakoswali,ni wa kuogopwa kama ukoma.
 
Umempa kidonge cha maradhi yake.Ajitokeze tumjue na tuangalia kama ana chochote cha maana alichonacho na alichochangia kwa taifa.
Ataeendelea kujificha ficha hawez kujitokeza asilan
.ilisemwa humu kama umeona historia hii ina upungufu,debate kwa kuleta yako ili kusudi u correct .sio kuona uchungu history fulan inaeleza watu fulan. Ndio maana ya historia.lazima ielezee jambo kama lilivyokuwa. Ukiona wametajwa sana wazee wa kariakoo ulipaswa kama umeona imeku pain sana ulipaswa ulete na wewe historia kuonesha hapana usitaje kina sykes mbona kuna akina fulan na fulan.hapo tungeelewa. Wewe watu wameanza harakat 1920 huko dockers association uje leo unashupaza shingo eti historia fulan inapendelea watu fulani wakati ukweli ndio huo.anayebisha kitabu cha abdulwahid sykes bas aandike na yeye tuone wap pamekosewa.
 
Massa,
Huo si uwanja wangu mimi nimesahihisha historia iliyokuwa imeandikwa sivyo.
Nilulize kuhusu hilo.
Ingekuwa sivyo shuleni ingekuwa inafundishwa historia ya hao wazee wanywa kahawa kkoo lakini historia inayofundishwa toka primary mpaka chuo kikuu ni historia ya msomi mkatoliki aliyewasaidia wazee wa kkoo kupata uhuru wa nchi hii.
 
Ingekuwa sivyo shuleni ingekuwa inafundishwa historia ya hao wazee wanywa kahawa kkoo lakini historia inayofundishwa toka primary mpaka chuo kikuu ni historia ya msomi mkatoliki aliyewasaidia wazee wa kkoo kupata uhuru wa nchi hii.
Luku...
Kwani ukiandika kwa adabu na heshima utapunjika nini?

Wazee wangu mimi ni Waislam kwa hiyo ulevi kwao ni haram wanakunywa kahawa.
 
Massa,
Wako viongozi wa Waislam na wanajishulisha na matatizo ya Waislam.

Sheikh Ponda amefanya mengi kwa Waislam.

Allah atamlipa.

Kuna waislam wengi Tanzania Tena wasomi wazuri tu na viongozi wakubwa. Unganeni muongeze nguvu na sheikh ponda kudai yaliyo sahihi kwa waislam. Umoja ni nguvu. Mambo ya kila mtu kulalamika kivyake hayatasaidia kuondoa matatizo ya waislam
Vinginevyo kubali waislam ndo chanzo cha matatizo yao wenyewe. Mbona tec ikiwa kuna tatizo upande wao wanaungana na kulitolea msimamo. Waislam wanakwama wapi?
 
Massa,
Hayo ya kuwataka Waislam waungane nani kakuambia hatuko pamoja?

Nani kakwambia tuna matatizo na chanzo ni sisi wenyewe?
Nani anakwambia kuna mahali tumekwama?

Haya wewe umeyatoa wapi?
 

Hakika Mkuu kuna Funzo kubwa Sana Hapa. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ingekuwa sivyo shuleni ingekuwa inafundishwa historia ya hao wazee wanywa kahawa kkoo lakini historia inayofundishwa toka primary mpaka chuo kikuu ni historia ya msomi mkatoliki aliyewasaidia wazee wa kkoo kupata uhuru wa nchi hii.
Luku....
Historia ya uhuru wa Tanganyika imebadilika baada ya kuandika kitabu cha Abdul Sykes.

Halikadhalika historia ya Julius Nyerere imebadilika.

Inawezekana hulijui hili kitabu cha maisha ya Julius Nyerere waandishi wamefanya rejea nyingi kutoka kwangu kwa kunihoji na pia kutoka kitabuni.

Yawezekana ikawa mtaala ni ule ule uliozoeleka hapa nchini lakini vyuo vikuu nje ya mipaka yetu wanaposomesha historia ya "nationalist politics" Tanzania rejea kuu ni kitabu cha Abdul Sykes.

Nimealikwa kwenye shule nyingi za Kiislam kuzungumza na walimu na wanafunzi kuhusu umuhimu wa kusomesha historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Angalia picha hiyo hapo chini:



 
Mzee Said hana baya japo nachelea kusema machapisho yake mengi yameelekea kuonesha kuwa watu fulani wananyanyaswa na wengine katika mrengo wa kidini

Kitu ambacho sio sawa sababu udini ni mbaya sana

Kuhusu historia ya Kariakoo, naafikiana nae sababu kila mwanahistoria ana eneo lake la ubobezi, yeye kabobea hapo hivyo tumwache ajimwayemwaye katika sehemu yake
 
Safi Sana Mzee wetu kwa hizi Struggle zako ambazo zimezaa Matunda πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Bado kofia utavikwa wew kutokana na chuki yako kwa wakristo
Tash...
Ningekuwa na chuki hizo usemazo TBC wasingekuwa wananihoji kuhusu maisha ya Mwalimu Nyerere.

Tumemaliza kutengeneza kipindi cha Mwalimu Nyerere na kitarushwa Nyerere Day.

Nimefanya vipindi na vyombo vingi vya habari kuhusu Nyerere na vimevutia wengi.

Watazamaji wanasoma historia mpya kabisa ya uhuru wa Tanganyika.

Nawasomesha historia ya wazalendo hawakupata kuwasikia mfano wa Denis Phombeah, Dr. Wilbard Mwanjisi, Dr. Michael Lugazia, Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Muhammad Yusuf Badi akina mama Sharifa bint Mzee, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande, Halima Selengia, Amina Kinabo kwa kuwataja wachache.

Nimefanikiwa sana katika hili.
Na ukweli ni kuwa Waislam wanaponisikia nikieleza historia hii huwa wanasisimkwa.

Baada ya vipindi hivi hupokea simu nyingi sana watu wakitaka kujua zaidi kuhusu historia hii.
 
UKo sahihi,mzee yuko vizuri ila smeshindwa kuficha hisia za chuki ndani ya nafsi yake juu ya dini fulani
 
Religious fanatics katika history.

Wanapo Claim their roles
Man...
Nani "fanatic?"

Cambridge Journal of African History?

Harvard na Oxford University Press waliowatia Sykes katika Dictionary of African Biography?

Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Yahya Othman na Ngwazi Kamatha walionihoji wakati wanaandika Nyerere Biography na katika kitabu kusifia Maktaba yangu kuwa katika maktaba tatu bora zenye taarifa za Nyerere: Maktaba ya Salim, Mohamed Said na Hashim Mbita?

Nani fanatic Northwestern University, Chicago kwa kunialika kuzungumza chuoni kwao?

Nani fanatic?

TBC, AZAM, Hamza Kassongo on Sunday, BBC Dira yΓ  Dunia, SABC nk.

Nani fanatic?

JF kwa kunichagua mwandishi bora wa historia Jukwaa la Historia 2021 na 2022?

Nani khasa fanatic?
 
Wewe ni fanatic sema unajua kucheza na maneno,wachache sana wanaelewa agenda yako,ila siku wakikugundua watakupora heshims yote,utawekwa kundu moja na sheikh Ponda au wale mashehe watuhumiwa wa ugaidi
 
Wewe ni fanatic sema unajua kucheza na maneno,wachache sana wanaelewa agenda yako,ila siku wakikugundua watakupora heshims yote,utawekwa kundu moja na sheikh Ponda au wale mashehe watuhumiwa wa ugaidi
Mdukuzi,
Mdomo haumkatai bwana wake.
Unaweza kusema lolote dhidi yangu.

Najua akili yako inakataa kuamini hiki ukionacho ndicho hicho hicho.
Mimi ni kundi moja na Sheikh Ponda kwa miaka mingi.

Mimi si wa kuambiwa nitawekwa kundi moja na Sheikh Ponda.
Sheikh Ponda ni ndugu yangu.

Picha ya kwanza hapo chini nilimpiga Sheikh Ponda Mahakamani Morogoro nilipokwenda kusikiliza kesi yake.


Sheikh Ponda Mahakamani Morogoro



Sheikh Mselem na mimi nje ya madrasa yake Zanzibar 2012​

Hivi ndivyo Waislam tunavyomuona Sheikh Ponda.
Unaweza kumpa yeye na mimi majina yoyote uyapendayo.
 
Tofauti yenu ni kwamba yeye yuko staight hatumii fasihi kufikisha ujumbe,ndio maana amejikuta yuko matatani,mimi binafsi namuona sheikh ponda ni mpambanaji na sio mnafiki,ni shujaa na hana uoga,
 
Duh,
Yaani unaamini kila mtu anakujua?!!

Inawezekana una mashabiki na wafuasi wengi, lakini wanaweza kuwa wa mrengo fulani tu hasa wa kidini, siyo watu wate.
Tupo tusiokujua kabisa
Lakini upo kwenye uzi wake> Majanga.
 
Mkuu mimi nimeomba maoni yako Kama mdau na mtanganyika muislam. Nini kifanyike kuondoa matatizo ya waislam Tanzania usikwepeshe tafadhari. Mwisho wa siku vizazi vitawalaumu kwa kushindwa kupata suluhu ya matatizo ya waislam wa Tanzania
Si amekushauri "Msome John Sivalon (1992), Bergen (1981) na Njozi (2002)".

Tatizo nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…