Uchaguzi 2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

Uchaguzi 2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora ndugu Aggrey Mwanri maarufu kama mzee wa Sukuma ndani amechukua form ya kugombea ubunge jimbo la SIHA.
 
Alifanywaje mkuu, usinambie alistaafu maana kuna nyuzi humu zinaeleza kua alikua tayari kastaafu utumishi wa uma kabla ya kuteuliwa kua mkuu wa mkoa.
Kuna kustaafu utumishi wa uma. Kuna kustaafu kwenye nafasi alio teuliwa.

Kuna kustaafu uwakilishi wa wananchi (ubunge). Mwanry alistaafu utumishi wa uma, na hapa karibuni aliomba kustaafu (akakubaliwa) nafasi ya uteuzi kama RC
 
DAKTARI ajipangee wenyewe wanarudi
Chama kiliwapigania mkapata mlipotoka mkasema ohh juhudi zenu... Ndomana mnakamatwa na takukuru sahv

Ova
Hii issue ya Takukuru imeharibu image sana
 
z

Wananchi wa Siha watakuwa wapumbavu kuwapa ajira watu waliostaafu.

Huyu mzee toka Nyerere mpaka leo yupo serikalini anakula mafao kuanzia wizara moja hadi nyingine wakati kuna wana SIHA wengi wamehitimu na hawana ajira hata ya kwanza, mwanaume mzima na vuzi zake yupo nyumbani anagongea msosi na dada zake kisa hakuna ajira alafu uje umpe mtu ubunge kisa tu ni fulani, hapana.
Sasa kwa taarifa yako Mwanri ana miaka 63,bado miaka miwili astaafu kwa lazima. Alie pelekwa kuchukua nafasi ya Mwanri yuko over 65yrs. Ujue huo ni mkaakati Mwanri kwenda kugombea Siha.
 
Sasa kwa taarifa yako Mwanri ana miaka 63,bado miaka miwili astaafu kwa lazima. Alie pelekwa kuchukua nafasi ya Mwanri yuko over 65yrs. Ujue huo ni mkaakati Mwanri kwenda kugombea Siha.
Usiwe muongo Dr Philemon Sengati hata miaka 50 tu hajafika..

Hvi habari za uzushi huwa mnazitolea wapi!??
 
Huyu nae njaa kali si asubiri kula pensheni yake. Kuna vijana kibao awaachie nafasi hiyo kwanza Magu hataki watu wa shikamoo
 
Back
Top Bottom