Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

Aggrey TZ kwa sasa anachukua sana mambo aliyokuwa akiyafanya huko nyuma. Ilifika kipindi nusu awehuke, hapa kati maskini ya Mungu kaumwa sana na ilifika muda ukimsogelea anakufukuza anasema hataki umf...r. e maana yeye sio shoga.

Yani kawa mtu wa mapambio 24/7 na mtu wa majuyo sana yani mpaka huruma.

Kiukweli jamaa anahitaji counseling ya hali ya juu kumuweka sawa.

Aggrey kwa sasa amefuya post zote za nyuma amebakisha zile tu za kumsifu Mungu kulingana na imani yake ya kisabato.

Bado hajachelewa kwa kuwa ameshatambua makosa yake na kwa sasa anataka kujitakasa Mungu atamsaidia.

Kila la heri kwake na tusiwe wepesi wa kuhukumu.
Ndio nani huyo huko dar?!
 
Kuna ile video ya dullah makabila katumika kama video queen kwenye scene ya shoga kwenda motoni. Itabidi afanye mapango waifute youtube aise.
 
Back
Top Bottom