Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

Nilishasema wanaume mkiacha ungese wenu wa kuwanunua na kuwa entertain hiki kitu hakitakuwepo ila kwa sbb mna tamaa za kishenzi dunia inakua mbaya sana kwa ajili yenu...
Yani mnakua kama matahira...unatoka kabisa unaenda eti kwa jitu kama hilo unaacha mkeo nyumbani au gf wako...
Pumbavu zenu...
Hili lipo wazi sana, wanaume siku hizi wanapenda kuwainamisha wenzao kwa sababu tu ya kuwakomoa. Na wengi wanatafunwa kwa ajili ya tamaa ya maisha mazuri.
Ila wadada na nyie mpunguze urafiki na hawa watu, kuna demu yupo Chamazi na kila siku analaani hataki hata siku moja mtoto wake aje kuwa choko lakini yeye kutwa na urafiki na machoko na anaenda nao kwenye shughuli na kutunzana.
 
Ukute cancer ya utumbo ishaanza kumtafuna ndo maana ameamua kurudi kanisani pole yake sana.Mungu amrehemu.Amaanishe sasa kwenye ibada si akiwashwa anarudi tena alipotoka.
Kumbe wanapatagq cancer ya utumbo
 
Mpuuzi huyu alijua hakuna kesho.
Ushoga,uabudu sanamu, n.k MUNGU aliziweka kwenye kundi moja anaita MACHUKIZO

Sasa usije ukawa unamnyooshea kidole Shoga ,kumbe na wewe una dhambi iliyo grupu la ushoga ....

NDIO MAANA TUNASISITIZWA SANA USIMBUOISHEE KIDOLE MWENZAKO ALIYEPOTEA

Hapa ni baadhi ya dhambi ambazo zimetajwa moja kwa moja kuwa machukizo:

1. Mila za kipagani na ibada za sanamu

Kumbukumbu la Torati 7:25 - "Sanamu za miungu yao mtaziteketeza kwa moto... kwa maana ni machukizo kwa Bwana, Mungu wenu."

Kumbukumbu la Torati 18:10-12 - Uchawi, uganga, kuagua, na kuwasiliana na roho za wafu ni machukizo.


2. Matendo ya ukosefu wa haki na udhalimu

Mithali 11:1 - "Kipimo cha udanganyifu ni machukizo kwa Bwana."

Mithali 17:15 - "Kumhesabu mwenye haki kuwa mkosaji au mwenye hatia kuwa mwenye haki ni machukizo."


3. Matendo ya zinaa na uasherati

Walawi 18:22 - "Usilale na mwanamume kama ulalavyo na mwanamke; ni machukizo."

Walawi 20:13 - Ushoga umetajwa kama machukizo.


4. Damu isiyo na hatia kumwagwa

Mithali 6:16-17 - "Bwana huchukia mambo saba... mikono imwagayo damu isiyo na hatia."


5. Majivuno na kiburi

Mithali 6:16-17 - "Bwana huchukia macho ya kiburi."

Mithali 16:5 - "Kila mwenye moyo wa kiburi ni machukizo kwa Bwana."


6. Uongo na kusema maneno ya fitina

Mithali 6:16-19 - Ulimi wa uongo na mtu asemezaye fitina kati ya ndugu ni machukizo.


7. Kula vyakula vilivyokatazwa

Walawi 11:10-12 - Wanyama au samaki wasio na magamba na mapande ni machukizo.

Kumbukumbu la Torati 14:3 - "Usile kitu chochote kichukizacho."


8. Uasherati wa kiroho (kukosa uaminifu kwa Mungu)

Yeremia 7:30 - "Kwa maana wana wa Yuda wamefanya yaliyo mabaya machoni pangu... wameweka machukizo yao nyumbani kwa jina langu."

Ezekieli 8:6 - Kuabudu miungu mingine ndani ya nyumba ya Mungu ni machukizo.


9. Dhambi za kijamii na dhuluma

Zekaria 8:17 - "Msikusudie mabaya mioyoni mwenu ninyi kwa ninyi, wala msiapize kwa uongo; maana haya yote ni machukizo."


Kwa ujumla, dhambi zinazowekwa katika kundi la machukizo ni zile zinazokinzana moja kwa moja na utakatifu, haki, na uaminifu wa Mungu. Machukizo haya si tu ya kiibada bali pia yanahusiana na maadili ya kijamii, kiroho, na kimaisha.
 
Nilishasema wanaume mkiacha ungese wenu wa kuwanunua na kuwa entertain hiki kitu hakitakuwepo ila kwa sbb mna tamaa za kishenzi dunia inakua mbaya sana kwa ajili yenu...
Yani mnakua kama matahira...unatoka kabisa unaenda eti kwa jitu kama hilo unaacha mkeo nyumbani au gf wako...
Pumbavu zenu...
Kwakweli tunapokea matusi yote, kwasababu kimsingi wateja wa hawa watu ni sisi wanaume...

Siku hawa mabazazi wakiacha usenge, na ushoga itabaki history...

Japo inakua vigumu kuisha kwasababu hii kitu inahusishwa na mambo ya kishirikina pia...

Na kama utujuavyo wabongo kwa uchawi.
 
Watu hawabadiliki fundamentally; ata moderate tabia zake tu which is very good kijamii na kwake yeye; pia kuna mashoga wengi wameingia kw ushoga coz ya trauma( kubakwa wakiwa wadogo), malezi mabaya na pia tamaa ya pesa na kujaribu jaribu tu; ila kama kweli yeye hakuwa na asili ya ushoga ni vizuri amerudi kw asili yake na isiwe anafanya coz anaumwa na anataka kiki; pia tukubali tu kuna mashoga kamwe hawawezi kubadilika bali ni hulka yao na wanaweza kutojihusisha na ngono ya jinsia moja ila orientation yao ipo pale pale hata wakishiriki ngono na jinsia tofauti.
 
Back
Top Bottom