PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
NakaziaWewe ndio Agrey mwenyewe umeleta huu uzi kupima upepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaWewe ndio Agrey mwenyewe umeleta huu uzi kupima upepo?
Wabeba vyuma hawafai haowakaka vijeba kabisa
Semaji lao!!Ila wee mkorofi, sasa una nitag mie nifanyeje?
Nikiwa kama Assistant Admin, sitaruhusu wamu-addHuyu ataweza kurudi kwenye group kweli?
Wacha mkuu!Unauzoefu?Ujinga wa rinda, likitatuliwa halirudi tena.
Hapana mkuu, niliona kwa bi. Mkubwa wako hayajarudi tenaWacha mkuu!Unauzoefu?
Ndo nani huyoAggrey TZ kwa sasa anachukua sana mambo aliyokuwa akiyafanya huko nyuma. Ilifika kipindi nusu awehuke, hapa kati maskini ya Mungu kaumwa sana na ilifika muda ukimsogelea anakufukuza anasema hataki umf...r. e maana yeye sio shoga.
Yani kawa mtu wa mapambio 24/7 na mtu wa majuyo sana yani mpaka huruma.
Kiukweli jamaa anahitaji counseling ya hali ya juu kumuweka sawa.
Aggrey kwa sasa amefuya post zote za nyuma amebakisha zile tu za kumsifu Mungu kulingana na imani yake ya kisabato.
Bado hajachelewa kwa kuwa ameshatambua makosa yake na kwa sasa anataka kujitakasa Mungu atamsaidia.
Kila la heri kwake na tusiwe wepesi wa kuhukumu.
😊Countrywide I see you brother..Hawezi Ila anaweza asiendelee na hizo tabia. Ila kuwa makodinda makostamina hapo ngumu
HahaaaaaaUkiwa kama rafiki mkubwa wa Aggrey,hebu tueleze ni kitu gani kimemsibu rafiki yako!
Nilionaga sura na picha ya cocastic Kwenye selfika na tule tumiguu twake. 😀😀😀😀Bado yule dogo anayejiita kisura wa mbeya.
Duuh Hatari!Hapana mkuu, niliona kwa bi. Mkubwa wako hayajarudi tena