Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

Hakuna Mtihani mgumu Kwa Mzazi kama kumuona Kijana wako wakiume anageuzwa Mwanamke, na watu wanamwinamisha

Kwa kweli unaweza kutamani Ardhi ipasuke utumbukie

Sisi wenye watoto wakiume, Mungu atulindie sana Vizazi vyetu 🙏🙏

Dunia imekuwa ya hovyo sana miaka hii 🙌
 
Hasa Dar inanuka uozo...vijana wanafanya huu mchezo kama fashion
Kuna mahali nilienda kutengeneza kucha wakaja wakaka vijeba kabisa
Ile kukaa hivi wakajiachia wamevaa bikini...nilisikitikaaa
 
Wakati huo huo wanapewa matibabu tusisahau kuwakumbusha kwenda kwa madaktari wa magonjwa ya akili.

Someone with sane mind hawezi kufanya ngono ya jinsia moja, hatuko tayari kwa huu mjadala.

Mwenyezi Mungu ampe nafasi nyingine. As we are not holier than him.
 
Hasa Dar inanuka uozo...vijana wanafanya huu mchezo kama fashion
Kuna mahali nilienda kutengeneza kucha wakaja wakaka vijeba kabisa
Ile kukaa hivi wakajiachia wamevaa bikini...nilisikitikaaa
Kwa kweli Mungu atulindie sana Vijana wetu

Wanayopitia ni magumu sana

Mtu anaona fahari kuingiliwa ama kumuingilia Mwanaume mwenzake, wakati Kei zipo nyingi hadi zinapangwa foleni

Kwa kweli inafikirisha sana 🙆
 
dari salama ni chimbo la P£$A na dhambi. ni vyema kila kijana akija dari salama afwate kilichomleta, vinginevyo tamaa ya F£DHA na MALI ni hatari mno vitampoteza. ona sasa kijana wa kiume kapoteza URIJALI wake, hata akipigwa bomba haisaidii kitu, ndio basi tena! poor him!
 
Back
Top Bottom