Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
4,247
Reaction score
6,578
Kupitia uzi huu nitakuwa napost magari ya aina tofauti yanayopatikana South Africa na bei zake. Kama ikitokea mtu yuko interested tutawasiliana ili kujua jinsi ya kukuwezesha kununua gari uitakayo.

Nitakua na post gari ambazo zipo kwa dealerships pamoja na ambazo zinauzwa na watu binafsi kwa maelezo yaliyokamilika kabisa. Karibuni kwa maoni,maswali na manunuzi.

Kama unahitaji spare parts au bidhaa za aina yoyote kutoka South Africa karibu inbox kwa mawasiliano zaidi .

Leo tunaanza na bus,
Marcopolo Paradiso 1200,
Mercedes Benz luxury bus,
Rear engine,
Year 2010,
Bei ni milioni 110 tu .
Unawasha na kuondoka.

 
Picha zilisumbua ku-uppload.
 

Attachments

  • Screenshot_20240410_105016_Facebook.jpg
    204.2 KB · Views: 19
  • Screenshot_20240410_105007_Facebook.jpg
    219.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20240410_105002_Facebook.jpg
    254.6 KB · Views: 20
  • Screenshot_20240410_105010_Facebook.jpg
    213.4 KB · Views: 25
  • Screenshot_20240410_105013_Facebook.jpg
    185.2 KB · Views: 20
  • Screenshot_20240410_105013_Facebook.jpg
    185.2 KB · Views: 20
  • Screenshot_20240410_105010_Facebook.jpg
    213.4 KB · Views: 24
Ndo ukweli unaponunua bidhaa ya mtumba kutoka south afrika kuwa makini
Nyingine watu wameuliwa ndo zimepatika kwa njia ya kuporwa
Acha story za vijiweni, na mtu kakueleza gari ziko kwenye dealership au zinauzwa kutoka kwa watu sahihi na details zote.
ACHA STORY ZA VIJIWENI UKAONA BONDENI KAMA GENGENI.
 
2019 Toyota Hilux 2.4 GD-6 Double cab SRX, M 65 milion fresh kutoka kwa dealer.
 

Attachments

  • Screenshot_20240326_120135_Chrome.jpg
    195.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_20240326_120131_Chrome.jpg
    199.7 KB · Views: 26
  • Screenshot_20240326_120137_Chrome.jpg
    172.8 KB · Views: 22
  • Screenshot_20240326_120140_Chrome.jpg
    204.3 KB · Views: 26
  • Screenshot_20240326_120145_Chrome.jpg
    205.6 KB · Views: 23
  • Screenshot_20240326_120147_Chrome.jpg
    238.4 KB · Views: 24
  • Screenshot_20240326_120127_Chrome.jpg
    268.1 KB · Views: 21
  • Screenshot_20240326_120118_Chrome.jpg
    208.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20240326_120115_Chrome.jpg
    185.1 KB · Views: 18
  • Screenshot_20240326_120121_Chrome.jpg
    209 KB · Views: 15
  • Screenshot_20240326_120123_Chrome.jpg
    248.3 KB · Views: 16
  • Screenshot_20240326_120113_Chrome.jpg
    232.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20240326_120110_Chrome.jpg
    188.6 KB · Views: 16
  • Screenshot_20240326_120107_Chrome.jpg
    206 KB · Views: 15
  • Screenshot_20240326_123506_Chrome.jpg
    230.8 KB · Views: 19
Wazo lako zuri sana nakushauri ungana na hawa Wanzania tayari tumeishaona kazi zao mkiungana manweza kufika mbali badala ya kila mtu kufanya chake.
Hii nchi kila mtu ana shinda machi zake,wao wamewekeza tayari kwenye biashara yao,sidhani kama wanahitaji mtu mwingine. Sawa na mimi pia kuwa na matarajio ya kukua zaidi kupitia hii gig.
 
Weka mchanganuo mkuu.
Hiyo 65m ni price ya gari pekee au ni pamoja gharama zingine ikiwemo kodi ya TRA na usafiri.
Hiyo ya kununulia tu, usafirishaji ni uamuzi wa mteja. Gari ipande meli au iendeshwe mpaka border na kulipiwa ushuru. Hiyo Hilux inaweza gharimu dola 1500 kuisafirisha kwa barabara, ushuru check kwenye calculator ya Tra, makadirio ni 20-26 milion .
 
Hiyo ya kununulia tu, usafirishaji ni uamuzi wa mteja. Gari ipande meli au iendeshwe mpaka border na kulipiwa ushuru. Hiyo Hilux inaweza gharimu dola 1500 kuisafirisha kwa barabara, ushuru check kwenye calculator ya Tra, makadirio ni 20-26 milion .
Calculator ya TRA haina option ya used car from South Africa. Pengine utupe uzoefu wako kama kuna ushuhuda wa mteja ambaye mmewahi kumuuzia gari kidi walikokotoa vipi. Zingatia pia kuwa South Africa tupo pamoja kwenye SADC hivyo import duty inaweza isiwepo kama gari hiyo ime originate South Africa. Hivyo mteja atakuwa subjected kulipa gharama nyinginezo kama uchakavu, nk.
Tupe uzoefu wa mteja ambaye mmewahi kumuuzia.
 
Jamaa yangu aliingiza Toyota Hilux ya 2017,ile ni 2.8 GD6 alilipa ushuru 23 milion kwa maelezo yake. Lakini pia ukichek kwenye calculator ya tra utaona double cabins zina ushuru rafiki kuliko Suv,mfano Hilux/Fortuner au Ranger/Everest.

Pia hapa South Africa Kuna options za kununua gari zilizopata ajali na kuzitengeneza kisha kuleta Tz. Wengi wanafanya biashara hiyo,gari zinakua cheap kununua,garage wanafix chuma inakua kama mpya kuanzia replacement parts mpaka rangi.
 
Kuna kitu hujaweka sawa.
Kodi/ Ushuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…