Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

Sipaki matope bali ndo ukweli na sijasema yeye anauza mali ya uwizi ila nimesema bidhaa nyingi za south africa ni za uwizi ni kama tahadhari tu
Unachokiandika hauwezi kukikuta Mtu kutoka Nigeria au Uganda akaandika kwenye kitu ambacho ndugu yake anakitangaza kama hujui kitu kaa kimya kuliko kuandika andika vitu usivyovijua Uganda wanaongoza kuchukua scraper kutoka SA na Watanzania wa Arusha wanazifata Uganda ni kutokana watu kariba yako mmejaa yaani mna roho fulani za kwa nini huyu afanikiwe na wewe ukimuona...
 
Bado sijapata uelewa vizuri kuhusu import duty. Kwa sababu ya kuwa members wa SADC hatupaswi kulipa import duty kwa magari yanayozalishwa ndani ya SADC.
Sasa hivi wameweka kwa gari mpya tu ila zilizotengenezwa SA na zimetumika SA utalipa import duty ila kodi ya gari ya kutoka SA inapungua kidogo tofauti na ya Japan hata zikiwa model sawa...
 
Ipyax tukijaaliwa mwezi wa sita baada ya uchaguzi ntafata gari hapo ntakujulisha aina za gari nazohitaji ntakutafuta maana mimi mara kwa mara nakua hapo Johannesburg nimependa hili Tangazo lako..karibu maeneo mengi wanayouza magari kwa bei nzuri na magari mazuri nayajua tutaongea pia kuhusu parts...
 
Bado sijapata uelewa vizuri kuhusu import duty. Kwa sababu ya kuwa members wa SADC hatupaswi kulipa import duty kwa magari yanayozalishwa ndani ya SADC.
Ninadhani makubaliano misamaha ya kodi kwenye nchi za SADC yanahusiana na bidhaa za kilimo na mifugo.
 
Ninadhani makubaliano misamaha ya kodi kwenye nchi za SADC yanahusiana na bidhaa za kilimo na mifugo.
Hata magari pia ila liwe Jipya sio used utapata hiyo exemption na pia utoke na karatasi za Export permit za Sunnyside baada ya kupata karatasi zote za Interpol na Dot unawapelekea hao jamaa unawaambia na boarder utakayotoka hapo unakua umeifuta kwenye taarifa za SA na yapo magari watu hawakufuta Sunnyside bado wanadaiwa disc na gari lipo Tanzania...
 
Scania R500 inauzwa vipande vipande ,
Engine iko 100% milion 14,diff million 11,Cabin pia inauzwa peke yake,gearbox haina. Hii ni Scania ya mwaka 2016.
 

Attachments

  • IMG-20240410-WA0015.jpg
    IMG-20240410-WA0015.jpg
    125.4 KB · Views: 20
Ninadhani makubaliano misamaha ya kodi kwenye nchi za SADC yanahusiana na bidhaa za kilimo na mifugo.
Ni bidhaa zote asilimia 100. Nenda kasome Itifaki ya Biashara ya SADC ipo online kwenye web page yao. Sharti kuu ni hiyo bidhaa iwe imezalishwa ndani ya SADC.
 
Ununue gari na wakufuate wakuondoe wachukue gari yao. 😎😎😎
Hizo gari tunatumia toka mwaka 2000 nakumbuka niliwahi leta Honda ballade ikikua auto nilishindwa kuuza kisa hapa Tanzania zipo manual wanasema hizo auto ni mbovu sana kama mnavyoongea hapa baadae niliporudi SA wakaaanza kupiga simu wakati nilishaghairi kuuza usisikie kelele za watu wakati hizo gari ndio zinatumika sana Mjini hapa...
 
International 9800 tipper (mende),
Year 2004,
Cummins ISX engine,
Horsepower 475,
Semi automatic.
Buying price ni million 60.
 

Attachments

  • Screenshot_20240404_123035_Facebook.jpg
    Screenshot_20240404_123035_Facebook.jpg
    233.5 KB · Views: 18
  • Screenshot_20240404_123031_Facebook.jpg
    Screenshot_20240404_123031_Facebook.jpg
    224.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20240404_123028_Facebook.jpg
    Screenshot_20240404_123028_Facebook.jpg
    203.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20240404_123025_Facebook.jpg
    Screenshot_20240404_123025_Facebook.jpg
    193.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20240404_123021_Facebook.jpg
    Screenshot_20240404_123021_Facebook.jpg
    203.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20240404_123013_Facebook.jpg
    Screenshot_20240404_123013_Facebook.jpg
    213.5 KB · Views: 17
Ndo ukweli unaponunua bidhaa ya mtumba kutoka south afrika kuwa makini
Nyingine watu wameuliwa ndo zimepatika kwa njia ya kuporwa
Ni kweli tahadhari ni muhimu sana especially kwa mleta uzi achukue hiyo tahadhari ahakikishe bidhaa au magari anayoleta ameyafanyia background check [emoji3581] ili kuwa na uhakika wa uhalali wa kitu anacholetewa kuuza.

Maana hiyo inchi wahuni wake ni wa hovyo kushinda hovyo yenyewe na wanajifanya wamechanganyikiwa na maisha kuliko watu wote duniani.
 
Yes kuna ukweli fulani lakini nipo hapa na maisha tunayoishi ni tofauti na mtu anavyosikia kwenye vyombo vya habari. Kuna mengi sana mazuri kuliko mabaya,pia ni cycle za watu tunaojihusisha nao zinaweza kukuweka mtu matatani. Kama umenyooka basi utaishi vizuri tu.
Hapo cha maana ulichozungumza ni kuhusu cycle ya watu wanaokuzunguka. Hao ndio wanao influence maisha unayoishi hapo South Africa.
 
2016 Ford Ranger TDCI XL manual,bei nzuri kabisa m 25 na laki nne tu. Karibu kwa mawasiliano zaidi .
 

Attachments

  • Screenshot_20240516_173508_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173508_Facebook.jpg
    335.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20240516_173506_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173506_Facebook.jpg
    197.7 KB · Views: 15
  • Screenshot_20240516_173503_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173503_Facebook.jpg
    197.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20240516_173500_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173500_Facebook.jpg
    454.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_20240516_173443_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173443_Facebook.jpg
    400.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20240516_173441_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173441_Facebook.jpg
    410.1 KB · Views: 17
  • Screenshot_20240516_173438_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173438_Facebook.jpg
    518.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20240516_173511_Facebook.jpg
    Screenshot_20240516_173511_Facebook.jpg
    420.1 KB · Views: 18
Jamaa yangu aliingiza Toyota Hilux ya 2017,ile ni 2.8 GD6 alilipa ushuru 23 milion kwa maelezo yake. Lakini pia ukichek kwenye calculator ya tra utaona double cabins zina ushuru rafiki kuliko Suv,mfano Hilux/Fortuner au Ranger/Everest.

Pia hapa South Africa Kuna options za kununua gari zilizopata ajali na kuzitengeneza kisha kuleta Tz. Wengi wanafanya biashara hiyo,gari zinakua cheap kununua,garage wanafix chuma inakua kama mpya kuanzia replacement parts mpaka rangi.
Ahf story kuhusu huku Ni nyingi kuliko uhalisia huku Kuna option nyingi za kununua mmandinga nikweli zipo zawizi,zipo za matreikerz,zipo za bank repossession,zipo za showroom mpya, zipo used second hand hapa kwenye second hand ndio hatarii pia zipo za mnadani ambazo unazipata kwa Bid & auction prices
 
Sipaki matope bali ndo ukweli na sijasema yeye anauza mali ya uwizi ila nimesema bidhaa nyingi za south africa ni za uwizi ni kama tahadhari tu
Punguza mdomo mrefu Kwenye biashara za watu ukitaka anzisha Uzi wako kuhusu gari za wizi kutoka SA. Sio ku comment ujinga Kwenye hustle za MTU mwingine.

Roho mbaya imekujaa
 
Back
Top Bottom