Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Unachokiandika hauwezi kukikuta Mtu kutoka Nigeria au Uganda akaandika kwenye kitu ambacho ndugu yake anakitangaza kama hujui kitu kaa kimya kuliko kuandika andika vitu usivyovijua Uganda wanaongoza kuchukua scraper kutoka SA na Watanzania wa Arusha wanazifata Uganda ni kutokana watu kariba yako mmejaa yaani mna roho fulani za kwa nini huyu afanikiwe na wewe ukimuona...Sipaki matope bali ndo ukweli na sijasema yeye anauza mali ya uwizi ila nimesema bidhaa nyingi za south africa ni za uwizi ni kama tahadhari tu
Sasa hivi wameweka kwa gari mpya tu ila zilizotengenezwa SA na zimetumika SA utalipa import duty ila kodi ya gari ya kutoka SA inapungua kidogo tofauti na ya Japan hata zikiwa model sawa...Bado sijapata uelewa vizuri kuhusu import duty. Kwa sababu ya kuwa members wa SADC hatupaswi kulipa import duty kwa magari yanayozalishwa ndani ya SADC.
Ninadhani makubaliano misamaha ya kodi kwenye nchi za SADC yanahusiana na bidhaa za kilimo na mifugo.Bado sijapata uelewa vizuri kuhusu import duty. Kwa sababu ya kuwa members wa SADC hatupaswi kulipa import duty kwa magari yanayozalishwa ndani ya SADC.
Hata magari pia ila liwe Jipya sio used utapata hiyo exemption na pia utoke na karatasi za Export permit za Sunnyside baada ya kupata karatasi zote za Interpol na Dot unawapelekea hao jamaa unawaambia na boarder utakayotoka hapo unakua umeifuta kwenye taarifa za SA na yapo magari watu hawakufuta Sunnyside bado wanadaiwa disc na gari lipo Tanzania...Ninadhani makubaliano misamaha ya kodi kwenye nchi za SADC yanahusiana na bidhaa za kilimo na mifugo.
Ni bidhaa zote asilimia 100. Nenda kasome Itifaki ya Biashara ya SADC ipo online kwenye web page yao. Sharti kuu ni hiyo bidhaa iwe imezalishwa ndani ya SADC.Ninadhani makubaliano misamaha ya kodi kwenye nchi za SADC yanahusiana na bidhaa za kilimo na mifugo.
Hizo gari tunatumia toka mwaka 2000 nakumbuka niliwahi leta Honda ballade ikikua auto nilishindwa kuuza kisa hapa Tanzania zipo manual wanasema hizo auto ni mbovu sana kama mnavyoongea hapa baadae niliporudi SA wakaaanza kupiga simu wakati nilishaghairi kuuza usisikie kelele za watu wakati hizo gari ndio zinatumika sana Mjini hapa...Ununue gari na wakufuate wakuondoe wachukue gari yao. 😎😎😎
Ni kweli tahadhari ni muhimu sana especially kwa mleta uzi achukue hiyo tahadhari ahakikishe bidhaa au magari anayoleta ameyafanyia background check [emoji3581] ili kuwa na uhakika wa uhalali wa kitu anacholetewa kuuza.Ndo ukweli unaponunua bidhaa ya mtumba kutoka south afrika kuwa makini
Nyingine watu wameuliwa ndo zimepatika kwa njia ya kuporwa
Safi sana mzee. Kama unakuwa makini hiyo ndio tunataka kusikia.Niko naishi hapa chief,risk zote za nchi hii nazijua.
Hapo cha maana ulichozungumza ni kuhusu cycle ya watu wanaokuzunguka. Hao ndio wanao influence maisha unayoishi hapo South Africa.Yes kuna ukweli fulani lakini nipo hapa na maisha tunayoishi ni tofauti na mtu anavyosikia kwenye vyombo vya habari. Kuna mengi sana mazuri kuliko mabaya,pia ni cycle za watu tunaojihusisha nao zinaweza kukuweka mtu matatani. Kama umenyooka basi utaishi vizuri tu.
Ahf story kuhusu huku Ni nyingi kuliko uhalisia huku Kuna option nyingi za kununua mmandinga nikweli zipo zawizi,zipo za matreikerz,zipo za bank repossession,zipo za showroom mpya, zipo used second hand hapa kwenye second hand ndio hatarii pia zipo za mnadani ambazo unazipata kwa Bid & auction pricesJamaa yangu aliingiza Toyota Hilux ya 2017,ile ni 2.8 GD6 alilipa ushuru 23 milion kwa maelezo yake. Lakini pia ukichek kwenye calculator ya tra utaona double cabins zina ushuru rafiki kuliko Suv,mfano Hilux/Fortuner au Ranger/Everest.
Pia hapa South Africa Kuna options za kununua gari zilizopata ajali na kuzitengeneza kisha kuleta Tz. Wengi wanafanya biashara hiyo,gari zinakua cheap kununua,garage wanafix chuma inakua kama mpya kuanzia replacement parts mpaka rangi.
Punguza mdomo mrefu Kwenye biashara za watu ukitaka anzisha Uzi wako kuhusu gari za wizi kutoka SA. Sio ku comment ujinga Kwenye hustle za MTU mwingine.Sipaki matope bali ndo ukweli na sijasema yeye anauza mali ya uwizi ila nimesema bidhaa nyingi za south africa ni za uwizi ni kama tahadhari tu