Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Kuna used za kkoo na used za dubai
Wengine wanataka bei zifanane
Vitu used vina grades A+, A, B, C...
Na kuna wakati mwingine used za hapa bongo unaambiwa ni kutoka dubai lakin ni top up ya mtu wa hapa hapa... Alitoa ili aongezee anunue Simu nyingine

Sasa hii hawez fanana bei na za kwangu ambazo ni moja kwa moja dubai

Haya Wasiliana na Yusuph chap upate Simu yakoo Kabla dollar haijachanganyaaa
Ofisi Manzese Argentina
0654156671
 

Me nataka Samsung A50 yenye RAM 6gb na storage 128gb. Niko Kigamboni.

Nitajie the exact price na uniambie nikaifuate wapi.
 
Me nataka Samsung A50 yenye RAM 6gb na storage 128gb. Niko Kigamboni.

Nitajie the exact price na uniambie nikaifuate wapi.
Boss Ofisi Manzese Argentina
Namba ya mtu wa hapo ofisini
0654156671

Utaratibu ni kulipia kwanza ndio uagiziwe..
Baada ya siku 3 - 4 Simu unaifuata hapo hapo ofisini ulipo Lipia pesa
Bei ya A50 ni 220,000
Hapo kwenye mkeka wa bei inasoma 210,000 ni wa muda kidogo
Kwa sasa dollar imepanda..
 

Sawa mkuu, nitapita hapo ofisini nione kama iko legit maana dunia ya sasa mambo yamekua mengi.
 
Kuna jamaa humu kasema kanunua hizo used kutoka DP World huko kwa Zahoro Matelephone lakini ni kimeo balaa.
Anakotoa yeye so ndo unakotoa wewe au inakuaje chief?
Nataka nijilipue tu
 
Kuna jamaa humu kasema kanunua hizo used kutoka DP World huko kwa Zahoro Matelephone lakini ni kimeo balaa.
Anakotoa yeye so ndo unakotoa wewe au inakuaje chief?
Nataka nijilipue tu
Siwez msemea mtu biashara yake boss..
Mimi naamini katika kile nina choleta mimi
Hizi Simu zote ni used ila zina grade ya used unayochukua

Mimi naleta A na A+
 
IPHONE
SAMSUNG
GOOGLE PIXEL

KUTOKA DUBAI.... ELEWA NENO DUBAI 😊😊😊
Whatsapp +971582640133
Ofisi kwa watu wa Dar
Manzese Argentina
0654156671

Ofisi kwa watu wa KILIMANJARO, Arusha na Manyara
0678984009
 
Fanya kitu genuine ili upige hela. Usitegemee uaminifu ndio ukubebe. Haya wewe fanya uaminifu uaminifu unitumie ikifika ama ikiwa mikononi mwangu ndio unapata hela. Ofisi yangu mpaka nakoishi na nitakuonyesha uhalali wa umiliki wa hizo SEHEMU.
Sijakuelewa mkuu
Mbona Ofisi zipo
Sehemu ambayo mtu anafanya Mali po na kupokea simu yake
 
Iphone 12 Mini napata kwa sh ngapi? na utaratibu wa malipo upoje pamoja na muda wa kuipata simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…