Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Ukiufuatilia huu uzi utajifunza vitu vifuatavyo:-
1. Kwa nini Wabongo wengi hatutoboi kwenye biashara za kimataifa.
2. Ujuaji,roho mbaya, kutoaminiana na unafiki ni tatizo letu kubwa mno.
3. Watanzania hatupendi maendeleo ya mwenzetu
4. Watanzania wengi ni maskini na washamba sanaaa
5. Poor Risk taking ni sababu kubwa sana watu wengi kutofanikiwa Bongo
6. 50% ya Wabongo ni wachawi kwenye biashara za watu.

Asanteni.
 
TUtafika tu
 
LAPTOP MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ

Hp Elitebook 840 g3
Core i5
6th generation
Ram 8gb
SSD 256gb(Unaweza kuongezewa ikawa 512gb)
BEI NI 430,000 TU
(Hapo hakuna gharama nyingne utakayo Lipia zaidi ya kusubiria laptop tu)
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
Kwa wanaohitaji kuagiza Laptop nipe model au sifa za Laptop unayohitaj nikupe bei yake.
Model za Laptop zipo nyingi sana na zina sifa tofauti tofauti
Ni ngumu kuandaa mkeka full
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
Mawasiliano zaidi whatsapp
+971582640133 (Dubai)

Call/sms 0654156671 (Ofisi dar)
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
 
Inatumia siku ngapi kufika? Wa mkoa tunalipaje huku tukihakikishiwa uaminifu, simu ina warrant miezi mingapi?
 
Inatumia siku ngapi kufika? Wa mkoa tunalipaje huku tukihakikishiwa uaminifu, simu ina warrant miezi mingapi?
Siku 3 mpak 5..
Warranty miezi 3

Kuhusu mkoani ni utaratibu wa kutumiwa tu
Ila gharama za kutuma kutoka dar kuja ulipo utachangia
 
Your browser is not able to display this video.

πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
Samsung A32 4g
(used A+ kama mpya tu)
Ram 4 / 128gb
Single line
250,000 Tu
AGIZA moja kwa moja kutoka dubai
Whatsapp +971582640133 (Dubai)
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
 
nyboma
 
Haya sasa ushindwe wewe tu kumiliki Laptop kali na ya kisasa huku bei ikiwa ya mserereko
Kama utaagiza utumie sawaa
Kama utaagiza uuze sawaa

Bei rafiki sana kwa Laptop ukiagiza moja kwa moja kutoka Dubai
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
HP ELITEBOOK 840
Core i7
RAM 8 GB SSD 256GB
470,000 TU
HII HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

************************************

LENOVO THINKPAD T460s
CORE i5 6th generation
RAM 8 GB SSD 256GB
420,000 TU
HII HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
************************************

HP ELITEBOOK 840 G3
CORE i7 6th Generation
RAM 8GB SSD 256GB
500,000 TU
HII HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

************************************
DELL 7480 CORE i7
7th Generation
Ram 8gb SSD 256GB
TOUCH SCREEN
500,000 TU
HII HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

************************************
DELL 7450
CORE i5 5th Generation
RAM 8GB SSD 256GB
350,000 TU
HII HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


************************************
DELL 5300
CORE i5 8th Generation
RAM 16GB 512GB SSD
TOUCH SCREEN
2 IN 1 (360 ROTATION)
650,000 TU
HII HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

************************************
NB: Laptop ni nyingi sana
Nitaendelea kuupdate kila wakati na kuwaletea mizigo mipya na mikali zaidi..

Kama hujaona model unayo taka au una sifa za Laptop uayoitaka
Comment hapa chini
Au ni cheki whatsapp +971582640133 (Dubai)

Mimi nipo dubai ila dar es salaam Ofisi ipo Manzese Argentina
Namba ya ofisi dar (0654156671)

Utaratibu
Unapohitaji Laptop
Unaweza wasiliana na mi whatsapp moja kwa moja
Ila kuhusu malipo na namna utakavyo pokea mzigo wako yote wasiliana na Ofisi Dar es salaam (0654156671)

Mzigo kufika Dar inachukua siku 3 hadi 5..

Waliopo nje ya dar es salaam
Tunatuma ila utachangia gharama ya kusafirishiwa kutoka dar es salaam hadi huko ulipo.

Kwa wale wanaohitaji Simu tembelea uzi wangu huu hapa

 
Kwanini mtu asilipie akishapokea mzigo?
 
Kwanini mtu asilipie akishapokea mzigo?
Hatufanyi biashara sisi tunafanya usafirishaji tu
Tunachomsaidia mtu ni kupata bidhaa aitakayo kutoka dubai hata kama yupo nyumbani kwake

Utaratibu wa kuoda bidhaa sijawahi ona mtu analetewa ndio analipia
Hasa kwa bidhaa zitokazo nje ya nchii..

Tushapata hasara ya watu kutaka waletewe halaf walipie
Kumbe mtu alikuwa anatest
Mengine oohh ile pesa nilikaa nayo nimetumia
Imepungua kwa sasaa

Atataka alipie kidogo hllaf uanze kumdai..
Mengi yametukuta katika njia hii uliyopendekeza...
 
Kwani ni nyanya kwamba itaoza? Mi ntaaminije kama sio utapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…