Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Tuliwahi pigwa humu humu JF na jamaa alliikuwa anauza Vitu vya electronics toka Europe na nchi za Kiarabu alidai ana ofisi Kigamboni kumbe feck. Jamaa alikuwa na jina la Kihaya.
Kelvin Isaya jina la kihaya?
 
Mtoa mada achana na negative comments watu wanakuonea wivu tu kuna mtu humu alianzisha thread ya kuwaagizia watu electronics kwa hela yake ili walipie mzigo ukifika ile thread imekufa unajua kwanini?
 
Kwani ni nyanya kwamba itaoza? Mi ntaaminije kama sio utapeli?
Kaka uamuzi ni wako kuagiza au kununua vilivyopo madukani

Chochote unacho ona na post hapa kariakoo kipoo unaweza enda na kukipata saa hiyo hiyo
 
Watanzania amkeni mtalizwa...utapeli ni mwingi mno
 
Mtoa mada achana na negative comments watu wanakuonea wivu tu kuna mtu humu alianzisha thread ya kuwaagizia watu electronics kwa hela yake ili walipie mzigo ukifika ile thread imekufa unajua kwanini?
We ni tapeli tu
 
Uzuri wa jamiiforums watu wapo hutu kucomment na wala mimi sina uwezo wakufuta comment ya mtu

Kama kuna mtu nimemtapeli angekuja hapa kutoa ushuhuda..

Ni mwezi sasa nimeweka uzi huu
Ina maana asiwepo mtu hata aliyepiga Simu au kufika ofisin na kuona viashiria vya utapeli?

Kama huna imani na huu uzi subirii mrejesho wa watu ambazo watatapeliwa naamini atakuja tu kutoa ushuhuda..

Na mimi sihitaj kumwmabia mtu aje hapa anitolee mrejesho wa kupata bidhaa yake maana itaonekana tu ni fake I'd najipigia promo

NI SUALA LA MUDA TU UTAPELI NA UHALALI WA HII BIASHARA UTAFAHAMIKAA
 
Mtoa mada achana na negative comments watu wanakuonea wivu tu kuna mtu humu alianzisha thread ya kuwaagizia watu electronics kwa hela yake ili walipie mzigo ukifika ile thread imekufa unajua kwanini?
We ni tapeli tu
 
Mkuu nitachagulie wewe laptop ya hp nzuri bei 350k hadi 400k. Maana mimi sio mzoefu wa vifaa vya umeme kama hivyo
 
Mkuu nitachagulie wewe laptop ya hp nzuri bei 350k hadi 400k. Maana mimi sio mzoefu wa vifaa vya umeme kama hivyo
HP probook
Core i3
Ram 8 256ssd
350,000 Tu
IMG_20230815_120806.jpg
IMG_20230815_120824.jpg
IMG_20230815_120833.jpg
 
[emoji102] Mbn hata hamna aliekuja na ushuhuda wa kupokea bidhaa za mwamba toka dubai...?
........ ina maana kwamba wa tz wote hatuna ela au jamaa mwnyw raia hatujamwelew anachonena.
 
Back
Top Bottom