Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Haya ile huduma ya kuagiza bidhaa za electronics kutoka dubai imerudi tena.

Karibuni sana

NB: Uzi ulilala huu sikuona mtu akipost simu zake hapa.
sasa uzi utaanza kutembea nione mtu anaweza bidhaa zake hapa...
NAMROGAAA...😂😂😂

Na wale wa oohh bei hizo nazipata kariakoo...nenda kariakoo ununue mtumbe wa third hand/ forth hand..
 
Japo dollar imepanda lakini bado tunakuletea simu kwa bei ya kizalendo
 
Napenda kutoa taarifa.
Leo tarehe 11-8-2023 ijumaha nimetoka manzese Argentina kufanya malipo ya simu Google pixel 5 GB 128 used like new quality ni A++.
Nimefika mpk ofisini/nyumbani kwao na kukutana na ndugu yake Mr. Yusuph. Ndio kapokea pesa kwa niaba ya huyu ndugu yetu alioko DUBAI.
Hivi sasa nasubilia simu tajwa hapo juu mpk next week ndio itakua imefika tanganyika.
Naomba kuwasilisha.
Asante.
Mkuu kawombe nakusaka ushee ushee experience yako, unipangilie kwanini ni Toyo na si Wanhoo wala Sinoray
 
Wale wapenzi wa iphone 11 pro, 11 pro max, 12 pro, 12 pro max, 13 pro na 12 pro max
MACHO 3 ZIPO ZA KUMWAGA
FB_IMG_1709881487118.jpg
 
Una simu gani ya internal gb 512 na Bei zake?
 
Bei gani hizi?
iphone 11 PRO 256gb = 750,000
iphone 11 PRO MAX 256gb = 900,000
iphone 12 pro 128gb = 950,000
iphone 12 PRO 256gb = 1,150,000
iphone 12 PRO MAX 256gb = 1,200,000
iphone 13 pro 128gb = 1,200,000
iphone 13 pro 256gb = 1,350,000
iphone 13 pro MAX 256GB = 1,500,000
iphone 13 pro MAX 512GB = 1,600,000
 
Back
Top Bottom