kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,289
- 1,317
Yawezakuwa na kutaja ametaja...Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.
All in all, RIP.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]