TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Habari ya kusikitisha baada ya masogange kufariki dunia[emoji24] [emoji24] [emoji24]
IMG_20180420_172648.jpg
_20180420_172550.JPG
 
Usimwombe msamaha mtu mjinga. Hii habari ipo kwenye social media nyingi zingine si JF peke yake haiwezi kuwa ya kuzusha
Sipendagi utani kwny habari km hizi ndo maana nikamtaka radhi ili atulie mkuu
 
Kuna kauli nyingine mtu akiongea zimekaa kuudhalilisha utu wa mwanamke.

Hivi uliwaza nn kuandika hili neno "kutolewa bikra ya kizazi?".

Huoni kwamba limekaa kuutusi utu wa mwanamke?

We mama yako hakukuzaa? Unaona sifa kutusi hata waliokuleta dunian kwa maneno kama haya?
Kwani neno bikra ni tusi.?
Ebu waulize mashabiki wa mpira ni nani kamtoa bikra Man city msimu huu bila kupepesa maneno watakwambia Liverpool..

Kama unadhani neno bikra ni tusi ,pole sana..
 
May her soul rest in peace ..... bashite umemsababishia stress demu wetu ...ukujua hii hasari na sisi watu wa kati yulikuwa tunaitaka..... The power is not parmanent. uwepo kwa muda .

Inaumiza sana nalia kwa uchungu hiiiiiiiiiii ..
 
Mbona huyu hakutangazwa mapema ugonjwa wake? Huenda mkuu angemuonea huruma na kumpelekea mamilioni akatibiwe India.
 
Back
Top Bottom