Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Mbona ghafla bin vuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TyphoidMshana homa ya matumbo ndio nini?
Post mortem mbona mchezo mdogo kughushiiDa Upungufu wa damu,like seriously? Isiwe wazee wa NGADA wamefanya yao,postmortem inahusika sana hapo.
Yupo sanchi world[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa tulikuwa tunaringia Agness kumtikisa Vera sidika jamaniii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Njoo nikuaminisheDuuu mbona ka siamini vile
Nani?Wamemuua
Jamani sasa wanakuwa wachache walitakiwa wawe wengi,halaf hapa muda mfupi tu alikuwa kimyaaa na makalio yote yale mtu anapungukiwaje damu,hizi hospitali zetu hiziYupo sanchi world[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
UsihukumuNa msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
ANAYE MTOTO MMOJA MKUBWA TU, ANAMIAKA ZAIDI YA 8Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Hata Mimi nimesikia hivyo sasahivi hapa nje watu wanasema hivyo Kuwa kafarikiKuna tetesi kuwa Agnes Masogange amefariki dunia!
Jina la Agnes Gerald “Masogange” sio geni katika masikio ya Watanzania. Ni mwanadada mrembo. Lakini warembo wapo wengi. Masogange ni maarufu. Akina dada warembo na maarufu wapo wengi pia. Lakini umaarufu wa Masogange ni tofauti. Umaarufu wake umepatikana kutokana na anavyoonekana katika video za wanamuziki, na sehemu ya mwili wake inayompatia umaarufu ni jinsi alivyojaliwa na Mwenyezi Mungu.
Bora lakini Sanchoka yupoShoga warembo wetu wanaisha,aisee mi nilikuwa napenda kumuona anavyotuonyesha tako lake
Au sioYupo sanchi world[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]