TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

11.PNG

12.PNG

JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
 
Nimezipata fb punde..

Tusubiri taarifa zaidi.
 
Nakumbuka aliwahi kusema anatamani kuwa mchungaji.
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba muigizaji wa Bongo movie Agnes Gerald maarufu kama Masogange amefariki dunia mapema jioni hii! Binafsi nimepatwa na mshtuko mkubwa wa kifo cha huyu binti Masogange hasa ukiangalia umri na huenda alikuwa na ndoto zake kama kijana!

Itakumbukwa pia marehemu Agnes Masogange alikutwa na hatia na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kuhukumiwa miaka miwili jela au kulipa faini ya shilingi milioni 1.5.

Agnes alifunguliwa kesi na Jamhuri mapema mwaka Jana baada ya kukamatwa na kutumia madawa ya kulevya aina ya Heroin na ya pili ni kutumia madawa ya kulevya aina ya Oxazepam.
 
Back
Top Bottom