TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu. Chanzo kutoka kwa mtu wake wa karibu kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Tunafuatilia kwa karibu kukujuza nini ambacho kinaendelea kuhusiana na msiba huo

Muungwana blog.
Mzee ulikuwa jela nini? Uzi umeshaanzishwa upo page ya 17 wewe ndio unakuja na taarifa hii? Kabla ya kutoa habari JF kwanza search kama imeshaanzisha au lah...Habari ipo humu karibia lisaa limoja na 30 iliyopita.
 
mademu wa mjini ndio desturi yao now days...sasa kama wamuona masogange anadhambi kwaliwa 0712"" vipi kuhusu viongozi wanao sabbisha migogoro baina ya nchi na nchi mpka kufikia ya watu kuuwana na kumwagana mapia ya damu ktika hii ardhi"" trust me hiyo dhambi uliyoisema hapo watu wengi mnoo huwa wanaishiriki ila kwaajili ya unafki wao wanaficha tu """
Achana nae umesahau unafiki wa humu
 
Alifaaa awe prn star tu akachezee na Wakina mandingo huko

Ova
 
Back
Top Bottom