TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu. Chanzo kutoka kwa mtu wake wa karibu kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Tunafuatilia kwa karibu kukujuza nini ambacho kinaendelea kuhusiana na msiba huo

Muungwana blog.
Mzee ulikuwa jela nini? Uzi umeshaanzishwa upo page ya 17 wewe ndio unakuja na taarifa hii? Kabla ya kutoa habari JF kwanza search kama imeshaanzisha au lah...Habari ipo humu karibia lisaa limoja na 30 iliyopita.
 
Achana nae umesahau unafiki wa humu
 
Alifaaa awe prn star tu akachezee na Wakina mandingo huko

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…