TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Yaani na uzuri wote ule,amekuwa nyama ya udongo!!,da kweli kifo hakina huruma,
Bora kuwa mcha Mungu,
The bitter truth,we all gonner die one day!!
 
Masupastaa wa Bongo ..wasichanaa wana mengi ya kujifunza kwa kifo hiki.

Ataenielewa na aelewe.
 
Matoleo ya kafara za kuhamisha mawazo ya watu kuelekea 26/4
Naona kiki za wiki iliyopita hazijatosha na pia ajali za mabasi mfululuzo ikiwemo basi kuungua juzi likiwa na abiiria Ndani bado haitoshi

Kuelekea wiki ijayo ma super star kuweni Makini mtatolewa Sana sadaka kama hii ya Masogange haitatosha kusababisha social media zisahau 1.5 t na 26 April

Paulo kamtoa demu wake kafara

Mungu amrehemu Binti wa watu
 
RIP Agnes.
Kifo kinatukumbusha kuwa kuna Mungu, sisi ambao ni marehemu watarajiwa tunatakiwa tutende mema.
 
Life is very hot...
Also is very short..

(AmmA)
Akaishi milele mahali Alipojichagulia.
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Ha ha ha ha ha ha ha ha watu wazima wenye busara zao utawajua tu. Yaani hata itumike lugha ngumu na ya kificho kiasi gani, wao wanakuwa wameshabaini chanzo mapema sana na wao hutumia lugha ya kificho kutoa majibu ha ha ha ha ha ha ha ha we jamaa umenichekesha sana.....na shukurani kwa kunipa jibu ambalo ingenichukua pengine lisaa kujua.....
 
Leo hii Rais Magufuli amesema na kusisitiza kwamba msiamini kila kitu mtandaoni, thibitisheni kwanza jamani. Kuna wengine wako tu hapa kuchafua hali ya hewa na raha yao ni kuona watu wana taharuki kama vile wafanyavyo Zitto na Lissu.
 
Mzee ulikuwa jela nini? Uzi umeshaanzishwa upo page ya 17 wewe ndio unakuja na taarifa hii? Kabla ya kutoa habari JF kwanza search kama imeshaanzisha au lah...Habari ipo humu karibia lisaa limoja na 30 iliyopita.
unajua Agnes's anapendwa sana take easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…