TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

WEWE KATILI HUNA GARANTII YA KUMWONA MENYEZIMUNGU UKIFA.KAMA UNAYO HONGERA ILA KWANZA MUANGALIE AYUBU KABLA YA KUPIGA KIFUA. NI HAYO TU KUTOKAC SISI WENYE DHAMBI TUNAOSUBIRI MAJALIWA YA MUNGU
 
[emoji106]
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
mamaqe walai mshana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ngoja tusubiri tutasikia mengi, kuishiwa damu na homa ya tumbo inawezekana ni mpango wa Mungu
Mwenyewe juzi alihojiwa kasema nimeolewa nimemrudia Mungu ndio maana nipo kimya na status zake ni bible tu I hope amepata mwisho mwema mbele ya hakimu mkuu
Shoga nasikia alikuwa anaumwa ndio maana alikuwa kimya
Aliolewa na nini??
 
Huyu tokea ile ishu ya makonda amekuwa akiumwa Sana tokea mwaka Jana amekuwa akiumwa ,akilazwa

Heroine mbaya sana kuacha vigumu. .pole yake na fundisho ,na ndicho kimemuua
Sasa amekufa kwa sababu alikuwa anatumia au kwa sababu aliacha kutumia?
 
Maskini pole kwa mtoto wake kumpoteza mama yake rest easy agy njia ya wote muhimu kujiandaa
 
Duh.. kaondoka na msambwada jomoni flat screen baaaaado wanapeta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…