TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Bila shaka familia yake imenufaika kipindi cha uhai wake
 
Kama unaijua typhoid na stages za H.I.V huwez kuuweka kwenye kundi hilo.. niishie hapa naona tupo tofauti
Huu ni mjadala. Hata kama tuko tofauti... ndiyo hasa lengo la forum i.e. kujaribu kuondoa tofauti za kimtazamo kwa kujenga hoja. Stages za HIV siyo uniform. Zinatofautiana kati ya mtu na mtu kulingana na mambo mengi.
 
Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.

All in all, RIP.
Hivi ni kweli kakamatwa?
 
Dunia ya mungu ametukopesha tu siku akiichukua ndio basiii
 
R.i.p Masogange! Na munaoendelea kukiriikia msabwanda endeleni sisi kwetu kama ile iko mingi.
 
Sanchi naye alikuwa anaumwa sijui anaendeleaje? Chama Cha Wapenda Misambwanda (CHAWAMI) inabidi tujitafakari vinginevyo tutajikuta tumebaki wakiwa!

Kwanza tuhakikishe Sanchi anapewa uangalizi maalum na tunahitaji kurudi vijijini hasa huko Mbeya ambako kunaonekana hakutuangushi kwa kusajili mamisambwanda mazitomazito tuende huko kwa usajili wa nguvu ili kufidia pengo hili la masogange!

RIP Masogange....."Tupo kwa Masogangee"

Mtuombee kwa kipindi hiki kigumu!
 

Tusipepese Maneno, ukiuwa kwa UPANGA utauliwa kwa UPANGA, hakuna kulala pema peponi hapo.

dhambi za watu wengine zi dhahiri, zawatangulia kwenda hukumuni, wengine dhambi zao zawafuta

1timotheo 5:24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…