Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni mjadala. Hata kama tuko tofauti... ndiyo hasa lengo la forum i.e. kujaribu kuondoa tofauti za kimtazamo kwa kujenga hoja. Stages za HIV siyo uniform. Zinatofautiana kati ya mtu na mtu kulingana na mambo mengi.Kama unaijua typhoid na stages za H.I.V huwez kuuweka kwenye kundi hilo.. niishie hapa naona tupo tofauti
Hivi ni kweli kakamatwa?Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.
All in all, RIP.
Ndoto gani mkuu...RIP Masogange, Ndoto zako imezimika Ghafla....
Age 33.Unataka kujua nini mkuu?Bwana Yesu alikufa na miaka mingapi?
Watanzania wenzangu, bila kuangalia dini ya mtu, leo naomba niwafunze kitu kimoja. Anapokufa mwanadamu yeyote yule inapaswa wewe ambae uko hai umuombee mwenzio Mungu amjaalie mafikio mema bila kuangalia alijuwa na amali gani anayoifanya. Maana yake ni kwamba huwezi kujua ni amali gani alikuwa anaifanya kwa siri marehemu huyo ambayo ilikuwa inampendeza Mungu na vile vile mwisho wake ni kiasi gani ulikuwa mwema au mbaya.
Tuombeane mema. Naanza mimi.
"Mungu amlaze mahali pema peponi, Amin"
*Maombi yako hayaongezi wala kupunguza kitu mbele za muumba, yeye pekee ndie ajuae amali za mja wake.