TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Bwana Yesu alikufa na miaka mingapi?
Yesu aliuwawa na kumbuka Yesu alikuja kwa kusudi maalumu hapa duniani na hakuwa mwanadamu kama mimi na wewe. Alikuwa mwanadamu kwa asilimia 100 maana alivaa, alikula, alisikia maumivu n.k na alikuwa ni Mungu kabisa kwa asilimia 100. Mwana pekee wa Mungu, aketiye Mkono wa Kuume wa Mungu baba, Yesu pekee ndie Mwana wa Mungu, ndio limbuko letu, ndie mkombozi, ndie atakayetuhuishi tena ile siku ya mwisho. Hakutakuwa na hukumu ya adhabu juu ya walio kwa kristo Yesu.

Isaya 9:6
 
Tusipepese Maneno, ukiuwa kwa UPANGA utauliwa kwa UPANGA, hakuna kulala pema peponi hapo.

dhambi za watu wengine zi dhahiri, zawatangulia kwenda hukumuni, wengine dhambi zao zawafuta

1timotheo 5:24
Tuombeane mema, sisi sio mahakimu wa kweli na tusihukumu watu kwa matendo yao. Ni Mungu pekee ndio hakimu wa kweli
 
Amina, mimi nimeamua kugeuka saa hii.
 
Haleluyaaa

Aaamen asanteeee
 
Age 33.Unataka kujua nini mkuu?

Sababu kuuliza swali ni hiyo comment hapo juu,sijui unaweza kutoa msaada wakati namsubiri mwenye comment yake.
 
Tulichopoteza ni hasara kwa taifa zaidi ya hzo trilion 1.5 tunazopigia kelele.
 
Tusipepese Maneno, ukiuwa kwa UPANGA utauliwa kwa UPANGA, hakuna kulala pema peponi hapo.

dhambi za watu wengine zi dhahiri, zawatangulia kwenda hukumuni, wengine dhambi zao zawafuta

1timotheo 5:24
Ukweli mchungu na unauma sana ila hakuna budi kuupokea.
 
wengine wanasema alikuwa na presha vipi hizi Habari zinatofautiana
 
Kwa Mama Ngoma ni kidispensary?sio kweli mmewe kama sikosei ana kitendo kwenye masuala ya Kansa na ukiwa na pesa ukienda pale unahudumiwa vzr mpk Kansa wanapiga mionzi km sijakosea
 
Tusipepese Maneno, ukiuwa kwa UPANGA utauliwa kwa UPANGA, hakuna kulala pema peponi hapo.

dhambi za watu wengine zi dhahiri, zawatangulia kwenda hukumuni, wengine dhambi zao zawafuta

1timotheo 5:24
Yakobo 4:11-12
"Ndugu, msisingiziane; amsingiziaye ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, huisingizia sheria na kuihukumu sheria. Lakini ukiihukumu sheria, huwi mtenda sheria, bali umekuwa hakimu. Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu, ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine? ''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…